Kabla hamjampeleka mesi polisi mkataba wake ulikuwa hivi

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.
khafla simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi ikaunganishwa mkataba mwingine kumbe ni wa miaka mitatu bila mesi kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…