Kabla hamjampeleke Messi Singano polisi mkataba wake ulikuwa hivi

Kabla hamjampeleke Messi Singano polisi mkataba wake ulikuwa hivi

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
Kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili Simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.

Simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi ikaunganishwa mkataba mwingine kumbe ni wa miaka mitatu bila Mesi kujua.
 
kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.
khafla simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi ikaunganishwa mkataba mwingine kumbe ni wa miaka mitatu bila mesi kujua

kuna uwezekanano mkubwa huo mkataba simba wameufoji, simba na yanga ni vilabu hatari saana, kama simba wameweza kuudanganya umma kuwa walimsomesha messi secondary wakati si kweli ww unafikiri watashindwa vp kufoji mkataba, NB kumbuka sakata la athmani idd na simba ,anyway mm ni shabiki wa simba lakini siwezi kutetea ujinga na dhuluma.
 
Mleta uzi inawezekana unalosema likawa kweli au si kweli. Inawezekana pia dogo alisaini miaka 3 lakini sasa imeibuka timu inataka kumpa masilahi zaidi ya anayopewa simba + mawakala makanjanja ndo kaona alianzishe kuliko asubiri tena mwaka uishe. Kuna nguvu ambayo si ya kawaida inatumika kulikuza sana hili jambo kwenye vya habari. Any way hili suala tuwaombe tff na vyombo vya dola walimalize haraka sana na kwa haki bila kupendelea upande wowote.
 
kuna habari mesi alitaka mkataba wa miaka miwili simba wakaatanda mkataba akasaini wa miaka hiyo 2.
khafla simba wakamwambia saini imekosewa wakampa karatasi nyingine akasaini ile karatasi ikaunganishwa mkataba mwingine kumbe ni wa miaka mitatu bila mesi kujua


Kwani kila Mmoja kwenye Mkataba sianabaki na nakala yake?
Tatizo liko wapi?
Kama wao wanaMkataba wenye miaka Mitatu na Mesi ana wa Miaka Miwili anayeona kaonewa si aende Mahakamani ilikila mmoja awasilishe nakala yake.
 
Simba ni wazulumati walimzulumu marehemu mafisango rambirambi sasa wanataka kumdhulumu yatima.
 
duh! hii nayo kashfa, siasa, polisi,michezo, kote si salama...........
 
Simba/Yanga ni hovyo Sana..ndio wauwaji wa soka la bongo.

acha bangi basi umbumbumbu wa mikia utaujumlishaje na YANGA ? wapi umeona yanga kafanya ujinga kama huo ?? vitu vingine tumia akili mkuu usiongozwe ns ushabiki maandazi hiyo ni kawaida ya mimba rejea sakata la chuji, yondani na sasa singano
 
Messi hajui kusoma?
Kujua kusoma na kuandika jina lako na baba haitoshi mkuu.
Hili ni tatizo la kitaifa lakini wengi hatujui na huenda ni factor inayotoa mchango mkubwa kudumaza soka letu!

 
Hivi inakuwaje mlalamikiwa ukaenda mahakamani kumshitaki mlalamikaji?!
Mahakamani anatakiwa aende Mesi akawashitaki Simba Sc kwa kufoji mkataba wake ili apate haki yake anayodai kadhulumiwa.. na si kupiga kelele katika vyombo vya habari.
 
Simba/Yanga ni hovyo Sana..ndio wauwaji wa soka la bongo.
Unaumwa wewe!!!
Tangu lini umesikia yanga wamegushi mkataba wa mchezaji kama hao mikia?!
Usiizungumzie yanga tena kwa kuifananisha na simba.
 
Simba naona laana ya Mafisango haijawapa funzo sasa mnataka kumdhulumu Yatima.
 
Messi hana mkataba halisi ana copy tu. Hivi mnavyomjua shaffih dauda si angekuwa ameshauweka mtandaoni?
 
Messi angemalizia tu huo mwaka mmoja. Nakumbuka hata Mbwana Samatta aliwahi kususa kucheza Simba karibia nusu msimu kisha tu ahadi aliyopewa ya Baloon (Toyota Chasser au Mark 2) hakua ametimiziwa.

Kipaji alikua nacho ila Mark 2 ilimfanya asicheze mpira, mark 2 ambayo leo akiamua kuuza assets zake zote anaweza kuzinunua hata 20.

Wakubwa walimshauri arudi uwanjani, hilo la mark 2 litatulika tu, leo ni mchezaji mwenye kipato kikubwa tu pengine kuliko mchezaji yeyote wa kizazi hiki wa mpira wa miguu. Yote ni sababu aligundua kuendelea kususa kunamuharibia yeye.
 
Back
Top Bottom