Kabla Hata Mechi za Makundi kuisha Tayari Tumeshajichukulia Nafasi ya Mwisho kabisa katika Fainali Hii.

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,564
Habarini.

Kwa hakika Tumebolonga sana kwenye hii Tatal African Cup of Nations.
Tuna Point 0 na Magoli -6 tunafuatiwa na Burundi Point 0 na Magoli -5. Pamoja na kua Mechi bado hazijaisha kwa Makundi mengine hamna atakae vunja rekodi yetu ya kichapo.

Tujipange vizuri Next Time. Hii ni Aibu.
 
laana ya makonda mtu hajawahi kucheza hata mpira wa makaratasi anapelekwa kwenda kuenjoy Misri first class ya ndege ha ha washamba wakoromije utwajuwa tu baba yake chato kaenda kupumulia juu huko
 
Tayari AFCON RESULTS Match day 3 Group C yanasomeka hivi;

CCM Stars 0

Algeria 3


Sasa sijui ukichukua -6 + -3 = ????

Jibu laweza kuwa -9, siyo? Au +9?
 
Na tulikuwa wa kwanza kufika
 
Hadi sasa Taifa Starsccm ndio timu iliyofungwa magoli mengi(8)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…