ladson mshana Member Joined Dec 23, 2015 Posts 14 Reaction score 6 Jan 25, 2017 #1 Taadhari kabla hujapata hasara ukiwa kama kijana kabla hujaoa msichana msomi aliyesoma kwa fedha za mkopo wasiliana na bodi ya mikopo ili kujua msichana unaemuoa ana deni kiasi gani asije kukutia hasara ukawa mtumwa wa bodi ya mikopo ni ushauri tu.
Taadhari kabla hujapata hasara ukiwa kama kijana kabla hujaoa msichana msomi aliyesoma kwa fedha za mkopo wasiliana na bodi ya mikopo ili kujua msichana unaemuoa ana deni kiasi gani asije kukutia hasara ukawa mtumwa wa bodi ya mikopo ni ushauri tu.