Kabla hujapata unachotaka penda kwanza ulichonacho

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595


KABLA YA KUPATA UNACHOKITAKA PENDA KWANZA ULICHONACHO

Huko zamani nilihitaji sana muda ufike ii nitoke sasa kwa wazazi ii niishi peke yangu ambapo nitakuwa na mkee na ntaanzisha familia yangu nitakayoihudumia mimi.

Na hapo ndio nilipokutana na mwanamke aliyekuja kubadili maisha yangu na mawazo yangu kwa ujumla.

Kwako kipenzi changu,

-Ni mwanamke mzuri na mwenye kufanya mambo ya kustaajabisha kwangu.Alinibadiisha maisha yangu yote na hata muda huu napoandika mada hii sio mimi yule uliyenijua kabla sijaanza kuwa na huyu mwanamke.

-Mimi najiona ni mwanaume mwenye furaha zaidi duniani kwasababu najiona ni mwanaume mwenye bahati zaidi duniani kuwa na mwanamke huyu.
(With her I want to spend the rest of my life)

-Nina uhakika kuwa hisia zangu kwake ni za kweli na ni hisia kubwa zaidi kuwahi kuzipata hapa duniani.

-Amezihamsha hisia zangu kiasi kwamba najiona naweza kufanya chochote atakachoniambia.Mda mwingine nawaza kuwaza nimuoe hata kesho.

-Naahidi kuwa sitamuacha aende ,nitamshikiria na kumng'ang'ania kama kupe anapong'ang'ania ngozi ya binadamu au mnyama.
(Nitayashika maneno yangu mpaka siku ya mwisho)

-Ni mwanamke mrembo zaidi duniani kuwahi kumshuhudia,anamacho ya rangi ya chokoleti ya kuvutia ,pua yake ya kuvutia ni moja ya maajabu katika mwii wake.Yeye kwangu ndio NUMBER 1 na ataendelea kuwa namba moja mpaka siku naingia kaburini.

-Midomo mizuri na umbo zuri zaid ya kleopatra kwa kwenye bibria,yani kwa kifupi ni kuwa siwezi mfananisha na mwanamke yeyote yule hapa duniani.

-Nataka kuwa naye muda wote kiasi kwamba hata mapigo ya moyo wake nataka niwe nayasikia kutokana na ukaribu naotaka kuwa nao kwake.Nataka kumgusa,kumkisi,kumsikia akihema taratibu.Nataka kuona namna anavyokuwa karibu na mimi anajisikiaje,yani nataka awe na mimi milele yote mpaka mwisho wa dunia.Muda wote awe wangu,nami nataka kuwa wake mpaka kifo changu.

-Mapenzi yangu kwake sitaki yaishe,hata kifo hakiwezi kunitenganisha kutoka kwake.Nitampenda hata kaburini.Hakuna umbali unaoweza kunitenganisha naye.
Yeye ni wangu pekee na nitatumia maisha yangu yote pamoja naye.

-Naandika post hii nikimuandikia yeye my love,na mkimuona mwambieni nampenda na nitaendelea kumpenda mpaka mwisho wa dunia hii.

-Nitampenda milele,mapenzi yangu kwake ni hisia kali zaidi kuwahi kuzipata hapa duniani.Hisia kama hizi nazilinganisha na hisia za malaika wanaoimba utukufu mbinguni kwa mungu.
Mapenzi yangu kwako ni PURE ,ya kweli ,na hakuna kitu kinachoweza kuyazima.Hakuna hata kimoja.

-Chochote kinaweza tokea kati yetu but jua kuwa hakuna kitu kinachoweza kunitenganisha nawe,hakuna muda ambapo nitaweza kwenda mbali na wewe.Siku tutakuwa pamoja,na tambua kuwa sio wiki wala siku ,siku nyingine nitaishi na wewe na nitaishi na familia.Nakuahidi kuwa nitakuoa na nitazidisha upendo wangu kwako.
.

-Wewe ndio mwanamke pekee ninaeweza kukuita familia yangu kwa sasa kwasababu wewe ndio kila kitu kwangu.Naandika post nikiwa na hisia kali sana z upendo juu yako.Wewe ndio rafiki yangu kipenzi zaidi kwa sasa duniani,naweza sema kwasasa wewe ndio maisha yangu,wewe ndio kipenzi changu.

-Wewe ndio maisha yangu hivyo nataka kufanya kila kitu kuhakikisha unakuwa na maisha ya furaha muda wote duniani.

-Namkumbuka mjomba yangu aliyekuwa akinifundisha kusoma na mara nyingi nilimsikia akisema ,"Deadbody soma hapa".Ila wewe umenifundisha mapenzi na umefanikiwa kuhamisha hisia zangu na kujikuta najua hadi kusoma.Hakika penzi ulilonipa ni darasa tosha kwangu.


-Nakumbuka uliponiambia "Deadbody weka tena" nikajihisi ni mtu pekee dunia hii aliyefanikiwa kuisikia sauti yako ya aina ile.Hakika siwezi kusahau mguno ulionitolea siku ile.Nakupenda sana mpenzi!

-Sitasahau uliponimbia "ingiza taratibu mpeniz",hakika ulinifanya nihisi nilikuwa mwanaume pekee niliyekuwa nafanya mapenzi siku hiyo.I love you


-Hisia zako za kufika kileleni ukazizidisha kwa 20 ndio angalau unaweza kukaribia hisia za mapenzi yangu kwako.Nikikuona nahisi sina njaa tena.SIWEZI KUKUACHA.

-Umbo lako la kuvutia ni uchawi tosha unaoweza kunivuta mimi.Hata kama ningelala na wanawake wengine ,nikawapanga wote msimame uchi bado nitakuchagua wewe mpenzi.SIWEZI KUKUACHA .

-Najua ni nini unahitaji kwangu.Una meno je unataka kung'ata? Una nguvu je unataka kupigana? Hisia tunazopataga pamoja tukiwa faragha ni kila kitu kwako na mimi na ndio hitaji letu la msingi.SIWEZI KUKUACHA.

-Huwa sipendi kusikiliza muziki maana ni kelele kwangu ila miguno uliyotoa kwangu ni zaidi ya muziki unaopigwa redioni.Hakika ukiamua kuimba ,wewe ni msanii wa kimataifa.SIWEZI KUKUACHA

-Uzuri wako wa nje ni sawa na uzuri wako wa ndani.Sina sababu ya kukuacha mpenzi hivyo nasema SIWEZI KUKUACHA.

-Kama nikiambia nichague kuwa nani hap duniani basi nitachagua kuwa tone la chozi ,nitatoka kwenye masho yako na nitaishi kwenye mashavu yako na mwisho nitafia kwenye midomo yako.Hakika SIWEZI KUKUACHA.

-Huwa nakufikiria wewe na kiss lako ulilonionyesha mara ya mwisho kabla sijalala kila siku.NAKUPENDA SANA.

-Nataka tuwe kama wapendanao wenye miaka zaidi ya 70 wanaonyanyua mikono yako nakusema nakuependa mpenzi.Nataka nasi tufike huko hivyo ili tufanikiwe kufika huko nilazma NIKUPENDE SANA .

-Nataka kuwa mwanaume pekee unayemtaka maishani.NAKUPENDA SANA

-Unanifanya nijivunie sana kuwa nawe.Hakika wewe ni waridi lichanualo.NAKUPENDA SANA

-Napenda sana kuwa nawe.Unanifanya natabasamu katika namna ambayo hakuna mwanamke mwingine yeyote anayeweza.NAKUPENDA SANA

-Tangu nilipokutana na wewe sijawahi kumfikiria mwanamke mwingine kimapenzi.Hakika umeniteka na sitakuana na nasisitiza kuwa NAKUPENDA SANA.

-Kukupoteza wewe ndio kitu nachokiogopa zaidi dunia.NIAMINI NAKUPENDA

-Nakupenda na siigizi mapenzi kwako.Hata tukifa kama kutakuwa na maisha huko tuendako napo nitakupenda pia.NIAMINI NAKUPENDA

-Pale nilipokuona kwa mara ya kwanza nilimshukuru mungu kwa kunitambulisha kwa mwanamke mzuri kuliko wote duniani.NIAMINI NAKUPENDA

-Najua mwanamke anapolia kwa mwanaume ni kawaida ila mwanaume anapolia kwa mwanamke ni ishara ya kuwa hawezi kuwa na mwanamke mwingine.Chozi langu halijapotea kwako.NIAMINI NAKUPENDA

-Bado nakumbuka kisi letu la kwanza.NAKUKUMBUKA KILA MUDA

-Mwanamke akiwa na mapenzi kwa mwanume utamjua kwa tabasamu lake ila mwanaume akiwa na mapenzi kwa mwanaume utamjua kupitia macho yake.Macho yangu uliyonisifia juzi ni jibu tosha.NAKUKUMBUKA KILA MUDA.

-Nakupenda wewe mara mbili ambazo ni sasa na milele.NAKUHITAJI SANA

-Kama upo pekee yako basi mimi ni kivuri chako na kama huna fuaha ,mimi ndio tabasamu lako na kama unanihitaji,nipo kwa ajili yako.NAKUHITAJI SANA

-Haijalishi kama una maziwa madogo ila napenda kuyaangalia Kila muda.NAKUHITAJI SANA

-Nilipokuwa na wewe kitandani nilijihisi nimechizika.HAKIKA UNANIWEZA

-Muda huu napoandika post hii upo kwenye kitanda chako nami nipo kwenye changu.Mmoja kati yetu hayupo sehemu sahihi.HAKIKA UNANIWEZA

-Nitakukisi hata kwenye mvua hivyo utalowa na mvua na utalowa kwa kiss langu-HAKIKA SITAKUSAHAU

-Wanaume wa ukweli hawavai pink ila huivua.Nakumbuka nilipokuwa naivua pink yako ulivuoniangalia kwa tabasamu.HAKIKA SITAKUSAHAU

-Nguo zako zinanifanya nisijiamini mpenzi.Ukiwa namimi uzivue nione uzuri wa uumbaji wa mungu.HAKIKA UNANIWEZA

Ujumbe huu ni kwako kipenzi changu ambaye siwezi kuendelea kuishi bila uwepo wako.

KABLA HUJAPATA UNACHOKITAKA PENDA KWANZA ULICHONACHO


DEADBODY
 
duu aya bna naona asubui hii unatuamsha misisimko
 
Huyo atakuwa mimi labda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…