WLF Tanzania
Member
- Oct 9, 2014
- 38
- 22
Wanabodi,
Imekuwa kawaida sasa kwa wazazi kuwa kazini muda mwingi zaidi ya nyumbani. Kinachofuata ni kupishana na watoto na kuacha jukumu la malezi kwa dada wa kazi.
Mtoto anahitaji malezi ya mama na baba. Kumpeleka shule nzuri na kumnunulia nguo nzuri bila kuwepo katika maisha yake haimsaidii mtoto.
Ni vizuri kujiandaa kwa asilimia zote na kujua jinsi utakavyomkuza mtoto wako kabla ya kumleta duniani. Jiandae kumpa malezi bora na kuwepo maishani mwake asilimia mia.
Au mnasemaje wadau?