MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hapana Kaka ijapokuwa Iringa ndiko kwenye wanachama wengiNikadhani ni maeneo ya Iringa hapo.
Kiukweli kuna muda nakuwa na hamu sana ila kumfikia ndiyo nashindwa mpk natamani kujichukulia sheria mkononi
yaani ww ni mfano hai wa SIMP umepigwa matukio lakini bado unaota ipo siku huyo mwanamke unayemuona wa thamani sana kwako atakurudia ww fala mmoja. My bro wake the f*ck up!!!!Jitahidi Kaka ,natamani nikusimulie mengi ila haitosaidia ,pambana uchomoke ,mwenzio nilichelewa kufanya hayo ,Sasa nipo nilichobakiza ni ajira tu ila watoto nilishaambiwa si wangu na Sasa wao wamenikana Mimi si baba yao .
Nishakaa jela sikumuona mwanangu Wala huyo mwanamke bad enough natoka Mali zikapigwa mgao ,kikubwa akapewa yeye kidogo ,nikapewa Mimi .
Haikuwa rahisi kukubali ila ujasiri na kukubali kuanza upya Sasa ninaishi Kaka ,ajira naendelea ,maisha na kidogo nilichoachiwa nakizingatia ili kesho isiwe ngumu kwangu .
Ila sio kwamba siamini kwenye mahusiano ,hapana bado naaamini wapo wadada wanajua nini maana ya ndoa na mahusiano hivyo bado najua ipo siku nitampata wa kuendana naye ,though sio Sasa maana nitakuwa muongo kusema simpendi tena mama watoto .
Bado nampenda yule dada na ninaamini alipitiwa ,Kuna muda narudisha muda nyuma na kuamini ipo siku atarudi japo ameshaolewa tena ila kwenye uhalisia ni ngumu .
Nilijaribu kuomba suluhu japo anisamehe anipe hata mtoto mmoja ila haikuwezekana zaidi ya kutishiwa kupelekwa polisi au kushitakiwa ofisini kwangu nikawa mpole .
Bro unapitia magumu ila bado hayajawa kiasi Cha kukupa stress hivyo yasolve mapema kabla hayajawa Kama yangu ,inauma ,uanaume ni kazi ,ni mateso ni tabu ila tumeumbwa kuvumilia wacha tuvumilie na maisha yawndelee.
Stay strong ,anza Sasa kujipanga ,usimdhuru Wala kuwaza kumdhuru utaiharibu kesho yako
Nimekuelewa Kaka ila Sasa unatumia lugha ngumu ndugu yangu si vizuriyaani ww ni mfano hai wa SIMP umepigwa matukio lakini bado unaota ipo siku huyo mwanamke unayemuona wa thamani sana kwako atakurudia ww fala mmoja. My bro wake the f*ck up!!!!
Mwanamke wa kukuonea huruma ni mamako tu acha kuishi maisha ya kitamthilia za kifilipino. No shit like true luv. Game ya mapenzi ni mchezo wa kuviziana hii ni VITA KAMA VITA NYINGINE. Get up chukua silaa ingia vitana tawanya maafui kadri uwezavyo ishi maisha ya furaha JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala anyone woman acha kulialia hapa no woman atakuonea huruma unless unataka kupigwa tukio lingine takatifu.
Achana na ulevi jikite kutumia muda wa ziada kufanya vitu vya faida kama kufanya mazoezi hii itakusaidia kujiweka fiti kimwili na kimawazo.
Hakikisha unachukua namba za wanawake hata tatu kwa siku ili uwazoee. Hii technique itakusaidia mdomo kuwa mwepesi na kuwazoea wanawake. Jitaidi uwe unachukua namba sehemu tofauti tofauti kokote pale ww chukua namba akikataa achana nae usilazimishe.
Baada ya muda utajifunza vitu vingi kuhusu wanawake na biashara ya ngono iliyojificha kwenye kitu wanaita mapenzi.
Pole sana Kiongozi. Inawezekana kabisa, ulimtamkia kumuona mapema tuu ndani ya muda mfupi wa uchumba. Hii, imepelekea kuficha makucha yake na kupretend wife material.Uchumba nilikaa nae almost less than a year kabla cjafanya maamuzi magumu ya kurasimisha mahusiano yetu... Ule uchumba naumiss sana mkuu, ulikuwa mtamu kweli yaani... Yaani sometimes ili ni enjoy sex lazima niukumbe ule wkt na kujipa imani utarudi tu
Kwani mkuu single mother ni Wamamke wa aina je ni yule aliewahi kuolewa akaachika au ni yule Mwanamke aliyezalishwa mitaani bila kuolewa ?Single mothers wana historia tofauti tofauti na wazazi wenza, ukiotea ukampata mzuri utafurahi... Sie tuliojichanganya sasa tunakula sana za uso
PoleNimechunguza nikagundua ndivyo alivyo lakini pia past yake imechangia kumfanya awe hivyo alivyo
Tumetubu kaka, tuliteleza ndiyo tunajikusanya kuanza upyaOnce again,,,,, KATAA NDOA 3-0 MABRAZA LIALIA.
ACHENI KUWAABUDU HAO WANAWAKE ZENU, ACHENI KUSIMPY, MWANAUME ACHA KUJITOA AKILI KWENYE MASWALA YA MSINGI.
Duh mwanangu umefumuka maneno mazito balaa ila yana choma mpaka moyoni[emoji419] kuwa na mwanamke ni vita kama vita nyingine... Hili nimelielewa zaidi nikiwa nimeshayakanyaga...yaani ww ni mfano hai wa SIMP umepigwa matukio lakini bado unaota ipo siku huyo mwanamke unayemuona wa thamani sana kwako atakurudia ww fala mmoja. My bro wake the f*ck up!!!!
Mwanamke wa kukuonea huruma ni mamako tu acha kuishi maisha ya kitamthilia za kifilipino. No shit like true luv. Game ya mapenzi ni mchezo wa kuviziana hii ni VITA KAMA VITA NYINGINE. Get up chukua silaa ingia vitana tawanya maadui kadri uwezavyo ishi maisha ya furaha, f*ck any woman acha kulialia hapa no woman atakuonea huruma unless unataka kupigwa tukio lingine takatifu.
Achana na ulevi jikite kutumia muda wa ziada kufanya vitu vya faida kama kufanya mazoezi hii itakusaidia kujiweka fiti kimwili na kimawazo.
Hakikisha unachukua namba za wanawake hata tatu kwa siku ili uwazoee. Hii technique itakusaidia mdomo kuwa mwepesi na kuwazoea wanawake. Jitaidi uwe unachukua namba sehemu tofauti tofauti kokote pale ww chukua namba akikataa achana nae usilazimishe.
Baada ya muda utajifunza vitu vingi kuhusu wanawake na biashara ya ngono iliyojificha kwenye kitu wanaita mapenzi.
Lilinigharimu pia tena sana tu... Natumaini sitorudia hilo kosa tena... ThanksPole sana Kiongozi. Inawezekana kabisa, ulimtamkia kumuona mapema tuu ndani ya muda mfupi wa uchumba. Hii, imepelekea kuficha makucha yake na kupretend wife material.
Uchumba sugu, hapo ni chukizo machoni pa Bwana, wakati mwingine unasaidia kujuana tabia na kuepuka pretenders. Fikiria, unaishi na Mwanamke miaka Mitatu au zaidi, hapa inakuwa ni ngumu kupretend na kunakuwa na changamoto za hapa na pale zimejitokeza kiasi cha kuwaachanisha lakini, mmemudu kusonga mbele. Tofauti sana na uchumba wa miezi kadhaa, huku muolewaji akiwa anajua anaolewa.
hakuna namna ni kupasuka live bila chenga. Hope umepata concept niliyokusudia achana na maneno chukua ujumbe🤝Duh mwanangu umefumuka maneno mazito balaa ila yana choma mpaka moyoni[emoji419] kuwa na mwanamke ni vita kama vita nyingine... Hili nimelielewa zaidi nikiwa nimeshayakanyaga...
Uko sahihi sana mkuu na kwa kuongezea kwenye hoja yakoMkuu songle mother waongo namba Duniani Mimi nimechekewa kuoa kwasababu ya wanawake niliokua nao ni single mother kwahiyo nimepata kujifunza kwanza wapo Single mother wa aina mbili, Kuna Single mother wanaotafuta Mwanaume ili kumlea mtoto wake huyu hataki ndoa ana danga, kuna Single mothe5 mwingine huyu ana force ndoa kaona jua limezama na hakuna ndoa, sasa ukimpata anataka umuoe kwa haraka yani mmekutana leo baada ya mwezi anataka ukajitambulishe kwao ili umuoe. Vijana tuoe Mabinti tusioe Single mother Single mother wengi wamekata tamaa na maisha ya kifamilia na wanachuki moyoni walio ificha ndiyo maana wanalalamika kwa kuzalishwa wameharibia maisha, Single wanajua kwa kuzalishwa bila kuolewa tayari wameshaaribiwa maisha yao.
Hawa kila mmoja anaenda kucheka na washikaji zake, yaani furaha na vicheko kwa marafiki ni vingi , na washikaji watasifu sana jamaa ama dada mcheshi sana, ila couple hiyo hiyo kwa sababu za ego zao ndani hakuna story wala vicheko, ni mwendo wa gubu na kiburi, na kujiona bora kuliko kujishusha ni kununiana tuView attachment 3156921
Hali ya sasa ilivyo inatisha sana, Mungu tusaidie
Ujumbe umepenya mkuu sikupingi... Hata sijajisikia vibaya zaidi nimeona nastahili fedheha kwa kuvumilia upuuuzi kwa muda mrefu ili kufurahisha watu na watotohakuna namna ni kupasuka live bila chenga. Hope umepata concept niliyokusudia achana na maneno chukua ujumbe[emoji1666]
We acha tu... Vyumba vingekuwa vinaongea vingetusimulia mengi sana... Unaishi na mwenzio kwa kuviziana halafu watu wanawaona mmeshibana hatari[emoji28][emoji28]Hawa kila mmoja anaenda kucheka na washikaji zake, yaani furaha na vicheko kwa marafiki ni vingi , na washikaji watasifu sana jamaa ama dada mcheshi sana, ila couple hiyo hiyo kwa sababu za ego zao ndani hakuna story wala vicheko, ni mwendo wa gubu na kiburi, na kujiona bora kuliko kujishusha ni kununiana tu
Mwenyewe napitia hayo mkuu. Wa nje wanaona tupo fresh, kumbe ndani full kuviziana kama unavosema. Kwa upande wangu mie nadhani ndio nimekuwa gundi ya ndoa, siku nikichoka itadondoka kama jengo lililopigwa bomuWe acha tu... Vyumba vingekuwa vinaongea vingetusimulia mengi sana... Unaishi na mwenzio kwa kuviziana halafu watu wanawaona mmeshibana hatari[emoji28][emoji28]