Yaan abadilike yy kana kwamba yy ndio kaolewa? Cha msingi hapo ni kupiga chini tu. Mm ni mhanga zaidi hata ya uliyosimulia, ni single mother wachache sana wenye shukuran. Mkuu furaha yako ni muhimu kuliko yake, ndio maana wanaume tunakufa mapema kwa kuvumilia watu wasio na mapenzi kwetu.