MBWETEKAUZU
Member
- Nov 1, 2014
- 13
- 0
baada ya kuandika huu ujumbe umeshakufaMahakama ya mwanzo iliyopo katika wilaya ya korogwe vijijini maeneo ya makuyuni-mombo,ni si sehemu salama kwa haki za binadamu.hakimu mkazi wa mahakama hiyo anae julikana kwa jina la mbwana amekuwa akipoteza haki za maskini na wasiojiweza na kutoa haki hizo kwa wenye nazo.serikali,takukuru na asasi nyingine zenye kupenda haki hasa takukuru njooni muokoe haki na maisha ya wanyonge huku korogwe vijijini kwenye mahakama ya mwanzo iliyopo makuyuni-mombo
Mahakama ya mwanzo iliyopo katika wilaya ya korogwe vijijini maeneo ya makuyuni-mombo,ni si sehemu salama kwa haki za binadamu.hakimu mkazi wa mahakama hiyo anae julikana kwa jina la mbwana amekuwa akipoteza haki za maskini na wasiojiweza na kutoa haki hizo kwa wenye nazo.serikali,takukuru na asasi nyingine zenye kupenda haki hasa takukuru njooni muokoe haki na maisha ya wanyonge huku korogwe vijijini kwenye mahakama ya mwanzo iliyopo makuyuni-mombo