Tariqfinest Member Joined Jul 13, 2021 Posts 16 Reaction score 23 Sep 17, 2021 #1 Ili ni swal nimeulizwa na vijana watatu ambao wannia ya kuingia katika mahusiano ya kudumu yaani ndoa .. Taja vitu unavyovizingatia kabla hujavuta jiko ?
Ili ni swal nimeulizwa na vijana watatu ambao wannia ya kuingia katika mahusiano ya kudumu yaani ndoa .. Taja vitu unavyovizingatia kabla hujavuta jiko ?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Sep 17, 2021 #2 awe na chura
Kikapuu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,122 Reaction score 1,629 Sep 17, 2021 #3 Bei Material Aina mfano la mkaa au gesi Yap namna hiyo