Mzee baba jiandae tu kisaikolojia hapo usimtafute mchawi nani.Barua ya tuhuma kabla ya kuachishwa kazi kwa kawaida inaandikwa na nani kwenda kwa mfanyakazi? Je ni kamati ya nidhamu au HR?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa mwenzio ana kihoroMara nyingi inaandikwa na HR then disciplinary hearing inafata baada ya hapo ndo unakula umeme