Elections 2010 Kabla ya kufikiria ushindi,je unayajua haya?

kaka salama? Naunga hoja yako asilimia 98.8, nadhani chadema wanajisahau kuwa oya oya nyingi sio wingi wa kura.


Kama sisiem wanamtaji mkubwa wa watu kama unavyodai, ni kitu gani kinawasumbua kuweka mabango makubwa kumtangaza mtu aliyekua Rais kwa miaka mitano? ni wazi alikua anaonekana kwenye vyombo vya habari hivyo hakukua na sababu kutumia fedha nyingi kwa matangazo badala yake fedha zingesaidia hata kwenye zahanati labda wangepata kura.

MABADILIKO NI LAZIMA
 
Respect to you man!:thumb:
 
Kijijini kwangu Mwenyekiti wa CCM anamchagua Mbunge wa CHADEMA na Rais SLAA. Yaani suala la CCM kuwa na wanachama wengi ndio kigezo cha kushinda hilo futa. Utafiti wa TCIB unaonyesha kuwa ni wanachama wa CCM asilimi 80 tu ndo watakaompa kura JK. Huu ni utafiti wa September mpaka mid October. hii asilimia imekwisha shuka inawezekana mpaka tarehe 31 October ikabaki asilimia 60. wapiga kura ni milioni 18 je kati ya hawa ni asilimia ngapi ambao ni wanachama wa CCM . Mtoa mada ukizichambua hizi statistics utagundua kwamba unayosema kuhusu CCM kushinda kwa vigezo vyako ni night mare tu.

Jamani kura zetu kwa nani? ni DK Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Wana JF mimi nafikiri post kama hizi tusiwe tunazi reply. Kama mtu hana hoja jengefu plizi akalale, yaani huyu jamaa ndo akina redet na synovate. Na hasirudie tena.
 

paulls ni kweli utafiti kuwa ccm ina mtaji mkubwa sana na ambao ndani yake ni watu ambao wamejiandikisha. Lakini kitu ambacho haufahamu ni kwamba kutokana na wanaccm wakiwemo viongozi wa ngazi mbali mbali kukerwa na kuchoshwa na uifisadi chadema itafanikiwa kuvuna kura nyingi sana kutoaka makundi hayo.
 
Mimi si mwanachama wa chama chochote, hata uchaguzi uliopita nilikuwa na imani kubwa sana na kikwete. Kwa leo hii nikikwambia katika familia yangu tuko takribani nane ni mmoja tu ndio anatetea ccm. mimi baba yangu mzazi ambaye yukohuko vijijini leo ukimwambia habari za kikwete hakuelewi kabisa na nimwana ccm, na ni mwenyekiti wa kijiji, lakini wote huko kila ninayemdadisi anasema yeye kura yake ni kwa dr slaa. haya, hata hapa ofisini hakuna hata mmoja anayeunga mkono ccm. kwa haraka hiyo tathmini yako ni nzuri lakini imepitwa na wakati, itafutie namna nyingine ya kuonyesha kikwete atashinda. lakini kimakundi kamaulivyotaja hapo, sikuungi mkono, ninaweza kuungana nawe kwenye kundi la wanawake, ambalo nalo ni nusu kwa nusu.
 
Wana JF mimi nafikiri post kama hizi tusiwe tunazi reply. Kama mtu hana hoja jengefu plizi akalale, yaani huyu jamaa ndo akina redet na synovate. Na hasirudie tena.
mkuu baina hoja jengefu kwako wewe ni zipi? najaribu kueleza hali ilyopo na dhani utanielewa vizuri zaidi baada ya matokeo kutoka kuwa hoja yangu ni jengefu na wala si kama wewe unayetaka kusikia unayo yataka wewe tu
 
Kweli haya ni mawazo mgando ambayo haindani na halisia. Paulss aendelee kutazama luninga leo saa tano usiku ili apate marudio ya mdahalo wa Mh. Rais Mtarajiwe WPS.
 
nguvu ya CCM

Hivi mtu anapoongelea NGUVU YA CCM ana maanisha nini??? CCM ina nguvu gani kushinda CHADEMA???

1. hata kama mgombea wa CCM anategemea nguvu za giza; mgombea wa CHADEMA anategemea nguvu za Mungu aliye hai na ndio maana mkono wake umepona faster, na Mungu alimuwezesha kufanya campaign hata alipokuwa amefungwa POP.

2. hata kama CCM inategemea nguvu ya vyombo vya dola - jeshi, polisi, mgambo - HAO WANACHI WALIOKO KWENYE VYOMBO HIVYO - NAO WAMECHOKA NA KERO NYINGI ZA MAISHA - WAKUBWA WAO WAKIISHI KWA ANASA WAKATI WAO NA FAMILIA ZAO WANAISHIA KUPIGA SALUTE! - hivyo hawatatumia nguvu kwa BABA ZAO, MAMA ZAO, KAKA ZAO, DADA ZAO, BABU ZAO, BIBI ZAO - ambao ndio WAPIGA KURA WA TANZANIA - NA WENGI WAO (KARIBUNI WOTE] wameamua KUMPA DR. SLAA KURA YA NDIO
Soooooooooooooooooooooooooooooooooo USHINDI NI KWA CHADEMA - period [HAKUNA CHA KULETA MASHAKA WALA NINI - DR SLAA - THE NEXT PRESIDENT]
kwa nguvu KURA YA MTANZANIA!!!
 

Natambua sana upinzani mwaka huu watafanya vizuri zaidi ya miaka iliyopita, hilo halina ubishi, na ninapozungumzia hayo makundi ndugu zangu simaanishi kila mwanachama, mzee, wnakijiji mwanamke lazima wapigie kura CCM, hapana,

Let me try to make it simple for you guys, nakumbuka wakati nipo sekondari tulisoma somo la hisabati topic ya propability, unapochukua mipira 20 ya njano, na 2 ya kaki ukaweka katika pipa, ukaichanganya nakisha uingize mkono utoe mpira mmoja tu, je utatoa wa njano au wa kaki, ukiangalia mfano huu utaona unaweza kutoa wowote, uwe wanjano au kaki, but what a chances, kaki ana mbili na njano ana 20, hivyo hata CHADEMA anaweza kushinda, isipokuwa kama njano ikichaguliwa kaki haitakiwi kulalama sababu anajua nafasi yake ilikuwaje
.
So maandiko yangu yanajaribu kuonyesha chances za CCM na CHADEMA katika mbio zao za kuingia ikulu thats all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…