Kabla ya Kujadili Rasimu Tuijue Mipaka ya Zanzibar-Wawakilishi Znz

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
412
Wawakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wamedai kufahamishwa mipaka ya Zanzibar kabla ya kujadili Rasimu (Source-ITV Taarifa ya Habari)

My take:
1.Je kwa madai haya Wazanzibari WANAJIANDAA kuuvunja Muungano?
2.Kuna mwana jf anafahamu mipaka ya Tanganyika na Zanzibar ( atuwekee hapa tuijadili)
 
Mbona inajulikana sana, mipaka ya wakati wa uhuru, mwaka 196I ya Tanganyika na katiba yao inaeleza mipaka kwani hawaielewi hawa sasa wanataka kichapo
 
Tulipopata uhuru mwaka 1961 mipaka ya Tanganyika ilikuwa inafamika na mipaka ya Zanzibar inafahamika kuwa ni ile iliyoainishwa katika hati yake ya uhuru mwaka 1963! Tanganyika mwisho wake ni visiwa vya Chumbwi!
 
Mbona inajulikana sana, mipaka ya wakati wa uhuru, mwaka 196I ya Tanganyika na katiba yao inaeleza mipaka kwani hawaielewi hawa sasa wanataka kichapo
Kweli mkuu, katiba ya sasa ya Zanzibar inajieleza kikamilifu, hapa naona ni UVIVU tu wa kuisoma katiba hiyo kama ilivo tabia yetu ya UVIVU wa kusoma.
 
wana taka kujua visima vya mafuta/gesi asilia vitakuwa wapi ndio waamue, kama vipo Tanga basi Muungano uendele, kama vipo Pemba basi Muungano hawautaki.
 
Back
Top Bottom