Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
Wawakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wamedai kufahamishwa mipaka ya Zanzibar kabla ya kujadili Rasimu (Source-ITV Taarifa ya Habari)
My take:
1.Je kwa madai haya Wazanzibari WANAJIANDAA kuuvunja Muungano?
2.Kuna mwana jf anafahamu mipaka ya Tanganyika na Zanzibar ( atuwekee hapa tuijadili)
ipo wapimbona inajulikana sana, mipaka ya wakati wa uhuru, mwaka 196i ya tanganyika na katiba yao inaeleza mipaka kwani hawaielewi hawa sasa wanataka kichapo
Tulipopata uhuru mwaka 1961 mipaka ya Tanganyika ilikuwa inafamika na mipaka ya Zanzibar inafahamika kuwa ni ile iliyoainishwa katika hati yake ya uhuru mwaka 1963! Tanganyika mwisho wake ni visiwa vya Chumbwi!Wawakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wamedai kufahamishwa mipaka ya Zanzibar kabla ya kujadili Rasimu (Source-ITV Taarifa ya Habari)
My take:
1.Je kwa madai haya Wazanzibari WANAJIANDAA kuuvunja Muungano?
2.Kuna mwana jf anafahamu mipaka ya Tanganyika na Zanzibar ( atuwekee hapa tuijadili)
Kweli mkuu, katiba ya sasa ya Zanzibar inajieleza kikamilifu, hapa naona ni UVIVU tu wa kuisoma katiba hiyo kama ilivo tabia yetu ya UVIVU wa kusoma.Mbona inajulikana sana, mipaka ya wakati wa uhuru, mwaka 196I ya Tanganyika na katiba yao inaeleza mipaka kwani hawaielewi hawa sasa wanataka kichapo