Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hakuna miujiza yoyote wanayofanya ccm, wakati wa uandikishaji wakala anatakiwa kuwa na idadi ya wanaoandikishwa kila siku mpaka siku ya mwisho orodha kamili awe nayo na ifikishwe chamani.
Pili Wakala siku ya upigaji kura ahakikishe hakuna mtu anapiga kura zaidi ya moja kwenye sanduku moja, ni rahisi sana kumgunduwa mtu anayeiñgia na kura ambazo zimeshapigwa.
Ukiweza kuwadhibiti CCM maeneo hayo mawili tu hakuna wizi wa kura utatokea labda kura za Urais.
Walichofanya CCM ni kuongeza majina hewa na kuingiza kura fdke mbele za mawakala wakishubudia bila mujuwa, huu ndio ukweli asitafutww mchawi,
Dosari kubwa niliyoiona jana ni watu kupiga kura zaidi ya mara moja kwa kutumia majina hewa, hili unaweza kulidhibiti kwenye uandikishaji tu.
Mawakala waandaliwe mapema na wapewe mafunzo, na kwakuwa ccm hItaki ustarabu sasa zinahitajika siasa za jino kwa jino ndio ccm wataelewa.