Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Usisahau na mapicha ya hela na noti noti kwenye wallet yanafanya mapenzi yadumuWadau kabla ya kumwaga sperm au mbegu za kiume,kuna maji maji meupe utoka Yale maji ni muhimu sana maana yana acid, ile acid inapoingia ukeni ambako kuna maji maji yeye base
Acid + base= water na salt
Ivyo usaidia mbegu za kiume zi sife,
yah nilipitiwa MkuuHahaahha dogo mbona unaingia chaka namna hii..! Maji maji hayo ni alkaline (base) in nature..
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Hivi inaandikwaje kwa code za chaemistryWadau kabla ya kumwaga sperm au mbegu za kiume,kuna maji maji meupe utoka Yale maji ni muhimu sana maana yana acid, ile acid inapoingia ukeni ambako kuna maji maji yeye base
Acid + base= water na salt
Ivyo usaidia mbegu za kiume zi sife,
NaOH + HCl -> NaCl + H2OHivi inaandikwaje kwa code za chaemistry
Mfano acid HCL+NaHO=H2O+NaCl au siyo teacher? the una balance equation hapo itulie
2HCL+2NaH0=H20+2NaclHivi inaandikwaje kwa code za chaemistry
Mfano acid HCL+NaHO=H2O+NaCl au siyo teacher? the una balance equation hapo itulie