Kabla ya kuvua nguo mwanamke fikiria

Kabla ya kuvua nguo mwanamke fikiria

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukiambiwa tu I love you nyonyo zinasimama wiki 2
ushavuliwa nguo, Hata Chakula huiva vizuri
kikifunikwa...Sasa wewe nani amekwambia
ujifunue-funue kuacha Sufuria wazi??Hakiivi kitu
hapo... halafu ukiachwa unasema All Men are
Dogs??? Yes they are dogs kwa sababu umewaonyesha Mifupa wewe mwenyewe.
Acha Chakula kifunikwe ili kiive vizuri.
Think before you say Yes..Read Terms and Conditions
before you Click INSTALL...
 
kweli kaka nashukuru kwa ushauri
wakaka kuoa hawataki ila wanataka mahusiano
mahusiano wanayotaka ni ya kusex
kama hujawa tayari kuoa basi na sex angalia movie mtuache na mioyo yetu
 
kweli kaka nashukuru kwa ushauri
wakaka kuoa hawataki ila wanataka mahusiano
mahusiano wanayotaka ni ya kusex
kama hujawa tayari kuoa basi na sex angalia movie mtuache na mioyo yetu
Miss Natafuta Afadhali wewe ni mmoja kati ya wanawake waelewa,
Hope mwalimu wako class hakupata tabu
 
Ulithi wetu huo Mzee Adam hakutuachia nyumba wala baiskeri hivyo nyuchi tuzitumie vyema tuvunje mifupa wakati meno tunayo siku hizi uzee unaanza miaka 40 hasa ukiwa na njaa.
 
Ulithi wetu huo Mzee Adam hakutuachia nyumba wala baiskeri hivyo nyuchi tuzitumie vyema tuvunje mifupa wakati meno tunayo siku hizi uzee unaanza miaka 40 hasa ukiwa na njaa.
Hahahah, Naona kama huko aliko anatuona tunayoyafnya duniani atabaki kupigwa na butwaa,
 
Acha kutuzibia riziki za papunch bhana km umechoka kuzifunua tuachie sisi
 
Back
Top Bottom