SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kwahyo wewe umepigwa nyuma tu?Kafa kiume mwenzio . Siyo wewe uliyepigwa nyuma na mbele . 1.4 b si mchezo .
Hesabu ajulie wapi? [emoji1][emoji1]Duh dola inapanda kwa kasi sana, yaani imefikia usd 350,000 ni sawa na 1.4 bilioni.
Aliyepigwa nyuma ni aliyebebwa kama kifaranga cha kuku bila kujitetea kama alivyokwapuliwa utopoloKwahyo wewe umepigwa nyuma tu?
[emoji23][emoji23] kama ni kutoa nyuma mwaka huu wapegwa sanaKwahyo wewe umepigwa nyuma tu?
Galaxy kapiga mbele, Memosa, Berkane, Red arrows, Orando wote nyuma sijui hilo tobo lina hali ganiAliyepigwa nyuma ni aliyebebwa kama kifaranga cha kuku bila kujitetea kama alivyokwapuliwa utopolo
Ila yanga akibeba ubingwa pesa zitaingizwa kwenye account ya ukoo wenu ili zisaidie kuwapa ugali wa kila cku .
Kwahyo wewe umepigwa mbele?Aliyepigwa nyuma ni aliyebebwa kama kifaranga cha kuku bila kujitetea kama alivyokwapuliwa utopolo