Haya ndo maneno sasa....
Na mume nae amfanyie nini mke?Mume kichwa cha familia, na mke nae?
Ndo maana ana dana dana hapa?Nimemwambia ameyataka mwenyewe leo nyumbani hakuendeki
'intangibles' tu hizo mbona unashtuka? ipo siku mbele ya kasisi utayatamka maneno haya;
''... nitakupenda kwa shida na raha, taabu na mateso maisha yangu yote mpaka kifo kitutenganishe'' naye atakujibu... "..nitakutii, nitakuwa muaminifu, blah blah...!"
'intangibles' tu hizo mbona unashtuka? ipo siku mbele ya kasisi utayatamka maneno haya;
''... nitakupenda kwa shida na raha, taabu na mateso maisha yangu yote mpaka kifo kitutenganishe'' naye atakujibu... "..nitakutii, nitakuwa muaminifu, blah blah...!"
Kate Middleton will not vow to 'obey' Prince William in her wedding vows - following Princess Diana's lead, it was claimed last night.
The bride-to-be will instead promise to 'love, comfort, honour and keep' her husband.
The couple have decided themselves what they want to say in their vows.
Diana ditched royal protocol when she wed Prince Charles in 1981 and controversially did not vow to 'obey'.
Leo kila mtu yuko on Mbu's case ona chini hapa anavyosema Mr.Rocky lolNdo maana ana dana dana hapa?
Mbu hapo Italic sijui imekutoka maana sijaona ilipoandikwa
Mpaka hapo freshi.
Ila hapa ndo penye tatizo. Kwa hiyo mume yeye hatakiwi kuwa na nidhamu, adabu, na usikivu kwa mkewe?
NN hiyo ya Kate Middleton inaitwa "On Your Face" lol no bullshitting around yaani straight forwardMbona siku hizi watu wanavibadili hivyo viapo (na mimi nawaunga mkono na miguu yangu yote)
Deku hii ya juzi juzi tu hapa Kate Middleton alivyofanya....
Nimeipenda sana hiyo ya 'love, comfort, honour and keep'. Hakuna upumbavu wa kutii hapo.
l
...mume anatakiwa ampende tu mkewe. Iwapo kwenye huo upendo wa mume kuna nidhamu, adabu, usikivu, nk, ...jibu lishapatikana hapo NN.
I was thinking the same thingMbu mbona kuna kama subordination fulani (nidhamu, adabu na usikivu) lol
Utanitii?????Mbu umenena
Mzima wewe??wikiend ntazipitia posts zote za hii topic
Yeye pia aweza kuwa moyo na mi nikawa kichwa, hakuna ubaya!....mume ni kichwa, ...mke ni moyo wa familia.
Nimemwambia ameyataka mwenyewe leo nyumbani hakuendeki
Mbu hapo Italic sijui imekutoka maana sijaona ilipoandikwa
Kweli mtihani wa leo!! Mh
...kuna kaukweli lakini hapo, "ukinitii nitakupenda!" and vice versa!
...wewe si umen'kusudia tangia jana?....lete maandiko, hutaki!...nyumba yangu inaungua huku!
...aaahh!!! nini tena?...naandika huku nasinzia bana...bht 'anachakachua' kila niandikacho pheeewwww!
I was thinking the same thing