NN sawa ila ule umwanaume lazima uonekane hata kama kwa kujificha maana huwezi kusema wote mtakuwa sawa
Kweli mtihani wa leo!! Mh
Nitakutii kwa sababu it makes me happy and makes me a woman.............kwa mujibu wa andiko but si guarantee ya kupendwa!! kwa maana hiyo mwanamke anauwezo wa kumtii mtu asiyempenda?? Maana hata kama unampenda mtu na yeye hakupendi iko siku si utachoka? na je ukichoka utii utaendelea kuwepo??mwe!
Ah mnanichanganya zaidi sasa, akili yenyewe hii ya kubandika na mate, ukipita upepo zimeyeyuka! Kuweni fair tafadhali!
......Said I loved you but I lied,Kweli mtihani wa leo!! Mh
Nitakutii kwa sababu it makes me happy and makes me a woman.............kwa mujibu wa andiko but si guarantee ya kupendwa!! kwa maana hiyo mwanamke anauwezo wa kumtii mtu asiyempenda?? Maana hata kama unampenda mtu na yeye hakupendi iko siku si utachoka? na je ukichoka utii utaendelea kuwepo??mwe!
Ah mnanichanganya zaidi sasa, akili yenyewe hii ya kubandika na mate, ukipita upepo zimeyeyuka! Kuweni fair tafadhali!
Yeye pia aweza kuwa moyo na mi nikawa kichwa, hakuna ubaya!
Jamani kwa nini watu wanapenda kuwa juu ya wenzao, hii dhana ya wanandoa kuwa mwili mmoja nashindwa kuielewa
Jamani kwa nini watu wanapenda kuwa juu ya wenzao, hii dhana ya wanandoa kuwa mwili mmoja nashindwa kuielewa
......Said I loved you but I lied,
Daah Mbu!Mi najaribu kuweka mambo yalingane na vile nataka yawe! Staki kuishi kulingana na mfalme Daudi alivotaka aisee....ndo matokeo yake mmoja kichwa mwingine miguu....Kwa nini wote tusiwe mabawa ya ndege mmoja?...wewe si umen'kusudia tangia jana?....lete maandiko, hutaki!...nyumba yangu inaungua huku!...aaahh!!! nini tena?...naandika huku nasinzia bana...bht 'anachakachua' kila niandikacho pheeewwww!
Hahaha!!! LolAngalia utaandikiwa mpaka kiapo chako cha ndoa ujikute unasema nitamtii na kumsujudia wife wangu
Mbu una visa wewe lol!!!
mnh, maandiko hayajatuamrisha hivyo, hivi wewe ukoje leo lakini? aahh!..
...sitaki kula tufaa mie!
Lazima uchanganyikiwe hapo! Provision moja ya Biblia inatuambia na tutakuwa hata kama mwili mmmoja.....Nyingine inatuelekeza kwenda kumsujudia mume maana yeye ni kichwa cha familiaJamani kwa nini watu wanapenda kuwa juu ya wenzao, hii dhana ya wanandoa kuwa mwili mmoja nashindwa kuielewa
Lazima uchanganyikiwe hapo! Provision moja ya Biblia inatuambia na tutakuwa hata kama mwili mmmoja.....Nyingine inatuelekeza kwenda kumsujudia mume maana yeye ni kichwa cha familia
Huyu aliyeandika haya atanisamehe....hawezi kuniamrisha kuishi vile alivyotaka yeye na haya ni maisha yangu! Atanifanya niione ndoa chungu Mbu.Afu sio leo tu, niko hivyo hivyo...lol!mnh, maandiko hayajatuamrisha hivyo, hivi wewe ukoje leo lakini? aahh!.....sitaki kula tufaa mie!
:biggrin1::biggrin1:Lazima uchanganyikiwe hapo! Provision moja ya Biblia inatuambia na tutakuwa hata kama mwili mmmoja.....Nyingine inatuelekeza kwenda kumsujudia mume maana yeye ni kichwa cha familia
Mbu mbona kuna kama subordination fulani (nidhamu, adabu na usikivu) lol
I was thinking the same thing
Kweli mtihani wa leo!! Mh
Nitakutii kwa sababu it makes me happy and makes me a woman.............kwa mujibu wa andiko but si guarantee ya kupendwa!! kwa maana hiyo mwanamke anauwezo wa kumtii mtu asiyempenda?? Maana hata kama unampenda mtu na yeye hakupendi iko siku si utachoka? na je ukichoka utii utaendelea kuwepo??mwe!
Ah mnanichanganya zaidi sasa, akili yenyewe hii ya kubandika na mate, ukipita upepo zimeyeyuka! Kuweni fair tafadhali!
Nilijaribusana kutafuta hiyo sehemu kwenye Biblia lakini sijaipataDaah Mbu!Mi najaribu kuweka mambo yalingane na vile nataka yawe! Staki kuishi kulingana na mfalme Daudi alivotaka aisee....ndo matokeo yake mmoja kichwa mwingine miguu....Kwa nini wote tusiwe mabawa ya ndege mmoja?
NN usicheke bana nashindwa kuelewa kabisa, eti mnapendana na kuheshimiana halafu mmoja anataka kuwa boss wa mwenzieHeheheeee pole....
Huyu aliyeandika haya atanisamehe....hawezi kuniamrisha kuishi vile alivyotaka yeye na haya ni maisha yangu! Atanifanya niione ndoa chungu Mbu.Afu sio leo tu, niko hivyo hivyo...lol!
Unakumbuka ule msemo wa "Jiokoe Mwenyewe" lol!!!
..thinking what bana?...lete maandiko! umeniponza wewe hapa!
Hapa tupo pamoja Mbu
Back to the topic. Utii uliokusudiwa hapa ni ule wa nidhamu, adabu na usikivu. Misuko suko definately itakuwamo lakini njia mojawapo ya kuitatua misukosuko hiyo ni huo utii...