Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Nitatoka kuvuta bangi zangu na nitaingia na kiapo ambacho dunia nzima haijawahi kukisikiaBora tuu waendelee na kile kilichopo bana maana wengine siku hiyo ukiambiwa utengeneze kiapo sauti inaweza kugoma kutoka
Hivi kiapo si kinafanywa ukiwa na akili timamu?Daah mpaka hapo utakuwa huna sifa ya kujiapiza kujiunga na hiyo taasisi, maana akili yako itakuwa si timamu kwa muda!
 
Reactions: Mbu
A confession....would be a nice start!!
Here i am and ready to confess halafu I am mad at you sasa ulikuwa umeenda wapi??
 
Hivi Mbu mume aki-cheat, Je hajamtii mkewe au hajamuheshimu???

Mume? ...atakuwa hajamheshimu mkewe, na ni ishara kwamba amepungukiwa na mapenzi kwa mkewe.

Kwani Mbu nikitoka kupata konyagi na nikaingia kanisani na kuyatamka yale maneno nitakuwa siko kwenye akili timamu

...kama kuendesha gari vile, hiyo itakuwa Void!...under influence maaazee,..khaaa?
yaani unaingia nyumba ya ibada 'ushapendeza?'...

Imagine hizo vows zitavyotamkwa! he hehe...
 
Hivi kiapo si kinafanywa ukiwa na akili timamu?Daah mpaka hapo utakuwa huna sifa ya kujiapiza kujiunga na hiyo taasisi, maana akili yako itakuwa si timamu kwa muda!

How will they know that mimi nimelivuta natamka kile ambacho nataka mimi kifanyike bana
Si ni ndoa yangu sasa kwa nini wao waniingilie wakati nimepewa uhuru wa kusema na kutengeneza kiapo changu
 
Hahahahaha Mbu balaa yaani jamaa yuko bwi na anatakiw akutamka kiapo
 
Mbu huyo bibie hicho kikombe alichoshika kuna kahawa humo?? Usije kukuta nae ni wale wale kumbe kikombe kina GIN na TONIC au kuna TEQUILA ndani lol
 
...lol....utakuwa umeondoa aibu kwa hao ndugu, jamaa na marafiki...lakini kwa Bwana Mkubwa aliye Mbinguni ina maana kiapo chako hakijaswihi...!

Mbu jibu sasa....

....mwee!? ...leo ntaota mie!
 
Mbu pia angalia macho ya huyo bi harusi inaonekana pombe imeishamkolea ila bado ufahamu upo sio kama huyo mwenzake hapo lol
 
Kweli sina mchango hapa... ila hata mdiscuss page mia.... iwepo post mkieleza concl....

Natanguliza Shukrani...
 
Kweli sina mchango hapa... ila hata mdiscuss page mia.... iwepo post mkieleza concl....

Natanguliza Shukrani...

Ashadii bado comments zinaendelea tunataka tupate mawazo mbadala kabisa
 
Kweli sina mchango hapa... ila hata mdiscuss page mia.... iwepo post mkieleza concl....

Natanguliza Shukrani...

Ila karibu nimekumiss mbaya toka asubuhi sijakutia (mhhhhh sijui ni tusi) machoni
 
Ashadii bado comments zinaendelea tunataka tupate mawazo mbadala kabisa

Ila karibu nimekumiss mbaya toka asubuhi sijakutia (mhhhhh sijui ni tusi) machoni

Leo kazi ilinibana mno, nikaona nitachemka... hata hivyo... mmmh! Naona mmefanya kazi nzuri,
na mmekazana kujirudia bila nyie kutambua... naona ni hali ya kutafuta conclusion... tena
toka saaaana kwa wakaka... maana sie ni wazi kua majibu yetu yafanana....

Weee PA unakimbia kwenda wapi hebu lete conclusion

PA... sina hamu... siyawezi jinsi mlivyokimbia... yaonesha kweli imegusa.... Bravo for an insight thread..
 
Leo kazi ilinibana mno, nikaona nitachemka... hata hivyo... mmmh! Naona mmefanya kazi nzuri,
na mmekazana kujirudia bila nyie kutambua... naona ni hali ya kutafuta conclusion... tena
toka saaaana kwa wakaka... maana sie ni wazi kua majibu yetu yafanana....

yeah ila tunahitaji tupate wa kutupa conclusion maana tumeenda sana
Pole sana kwa kazi
 
Thanks TF kwa kwa mistari ya bible,Lakini hii bible mpaka uisome na kuelewa kwa msaada mungu .
Ngoja nifunge 2 days nipate maono kisha nije nichangie sredi yako
 
Nilijaribusana kutafuta hiyo sehemu kwenye Biblia lakini sijaipata
Endelea tu kupekua hiyo Biblia mpaka uichakaze na huo mstari usiuone....kwanza sijanukuu kama nimetoa huko, shauri yako!
 
asante kwa ujumbe mzuri sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…