Tetesi: Kabla ya tarehe 2 october ni vema mliofanya application za chuo mkapitia hapa

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
325
Reaction score
410
Kwanza hongereni sana kwa kufanikiwa kuendelea na harakati zako za maisha ya kielimu.. Ni ukweli usipingika kwamba mwaka huu wengi mtachaguliwa vyuo vikuu ambavyo nyinyi wenyewe mnavitaka na hii ni kutokana na mabadiliko ya mfumo kutaka wewe mwenyewe u-confirm sehemu unayoitaka. Ila kabla ya kutoka hayo majina ni vema ukajiandaa kisaikolojia na baadhi ya mambo.. Kwanza usije ukafanya chochote bila kujua kuwa mbeleni kuna giza kubwa la ajila hivyo ni vema kuwa makini... Hivyo usiende chuo fulani kwa kusikia sifa za chuo wakati unaenda kusoma course haipo moyoni mwako.. Pia angalia sana ubora wa hiyo course na chuo husika.. Lakini pia kuna bahati mbaya ya kutopata mkopo hivyo hapa angalia sana sehemu ambayo unahisi inaendana na wewe.. Najua wengi mna mengi ya kushauri ila applicants wote muwe makini na hilo... Karibuni sana chuo sehemu ambayo naamini itakufunza mengi
 
Sawa mkuu watakuwa wamekuelewa
 
Na tarehe mbili pia si ndio wanatoa majina ya mikopo..dah tulioappeal Mungu pia atutangulie
 
Mi niko katika ajira na nina dip ya law,, nilichelewa kuapply imenibidi nisubiri tu hadi mwakani! kama kuna anaejua njia mbadala ya mi kupata admission chuo cha kueleweka anisaidie
 
Back
Top Bottom