Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuna namna ya kupata online copy?Ila RITA wako vizuri sana kwa sasa.
Niliomba vyeti vya watoto wangu kupitia online nimevipata kwa wakati.
Ninaamini hata hili linaweza kwenda sawa ikiwa elimu itatolewa ipasavyo
HapanaKuna namna ya kupata online copy?
AU mpaka uende kuchukua?
AsanteHapana
Ukiwa unaomba utajaza ofisi unayotaka kuchukulia cheti.
Ni jambo la siku tano tu cheti kinakuwa kimeshatoka.
Gharama zikoje mkuu.Hapana
Ukiwa unaomba utajaza ofisi unayotaka kuchukulia cheti.
Ni jambo la siku tano tu cheti kinakuwa kimeshatoka.
Shilingi 8000 kwa mtotoGharama zikoje mkuu.
Mimi sitaki kubadilisha, cheti changu watakikataa?Shilingi 8000 kwa mtoto