Hawa jamaa wamekuwa na desturi ya kulalamikia waamuzi sana.Ni kama mwanamke anavyolalamikia mfumo dume.Unakuta mradi aonekane kaonewa tuuu na huenda wanatafuta huruma.
Kwa hapa nyumbani tumewazoea sana kwani wanailalamikia TFF kila wakati licha ya kwamba wao ndiyo timu inayoongoza kudeka na kubebwa uwanjani.Hayo yote hawayaoni.
Jana mechi yao na Medeama,wamebebwa sana kwa wapinzani kunyimwa penalty na hata goli walilofunga walianza kwa kucheza faulo mwamuzi akapeta.Yote hayo hawayaoni,wanaona tu goli la offside na wanamlaumu mwamuzi badala ya kibendera.Kibabage alizidi kwa kuangalia marudio ya picha.
Nawashauri kama mnajiona wakubwa,kuna sababu gani ya kulalamikia?Mnamlalamikia nani na ninyi ndio wakubwa?