Yeah kuna mazungumzo yaliendelea kwa sekunde kadhaHapo kuna jamaa alikuwa cjui anamuuliza kama kitanzi kimemkaba vizuri, kuna dialogue walifanya hapo kisha Saddam akatikisa kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu pole sanaKwa kuboresha tu, vibaka wa mtaani kwetu walinikaba/nyonga shingoni hadi nikakata net kwa dk 2 Nilipozinduka sikuona mtu, nimebaki mweupee na sauti ilikata kwa siku nne!.
Sent using Jamii Forums mobile app
CIAHuyu alokuwa anachukua video kwa simu na kisha kuilikisha hakuogopa? Au yawezekana kwa wenzetu sheria ziko na wepesi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ISISAisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
😳😳😳😡Ndio linakuja rungu la utosini kama bado inakuja sindano ya sumu
Teh! Teh! Huyu jamaa mi nahisi atakuwa anafanya kazi moja wapo kati ya hiziHivi mshana anafanya kazi gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh! Teh! Huyu jamaa mi nahisi atakuwa anafanya kazi moja wapo kati ya hizi
(1)Mchawi au mlozi
(2)Mganga wa kienyeji
(3)Anafanya ibada za majusi
(4)Muhudumu chumba cha kuhifadhia MAITI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wafungwa wanaokataa wamejuaje maumivu hayoFanya utafiti kisha uandike, hakuna uafadhali wa sindano ya Sumu, ndo maana wafungwa wameanza kukataa wamesema ni mateso makubwa mno mtu mpaka afe, kuuliwa ni kuuliwa aisee hamna unafuu wowote maana vifo vyote ni maumivu makali yanatofautiana muda tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifanyeje ili nipigwe ban?.
Unaishi kwa akili ya huyo mama wa kizungu?Mtu yoyote anaetoka nyumbani kwake na kwenda kumtoa binadamu mwenzake uhai tayari na yeye anakua amejinyima haki yake ya msingi ya kuishi hpa Duniani______Margaret Thatcher former British prime minister
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kuna ile ya jamaa alihukumiwa kifo kwakupigwa risasi, siku ya tukio akawekwa sawa, watu wakajikoki, wakamimina ma risasi, ile wamemaliza wanaenda kuuangalia mwili wakakuta hata hata chembe ya jeraha la risasi ila amekufa, ikaja kugundulika alikufa kwa uoga, ilikua miaka ya zamani sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimesisimka ghafla...!Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!