Kabrasha chumba cha kunyongea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kwanini unakuwa na mawazo kimo cha mbilikimo kiasi hiki?
 
daa kwa kweli tuishi kwa amani ndugu zanguni,ndiyo kifo hakikwepeki lakini kifo cha aina hiyo unajua kabisa kwamba kesho nitakufa (mungu aniepushe na kifo hicho)
 
umetudanganya hapo kwa bwana mnyongaji kukamatwa,anaekamatwa huwa ni bwana jela wa gereza ambalo hilo tukio la unyongaji limetokea...
 
Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45
😀😀 watu wapo siriaz na kazi ...hapo bado hakusogea huyo mwenye nyundo ...MKATA UMEME
 
Aisee mnyongaji anakamatwa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh mnyongaji anakamatwa tena,kazi zingine
 
Mnyongaji nae anakili ameua kwa niaba ya sheria
hapa tanzania itakuja lini sheria wanyongwe wahujumu uchumi
 
umetudanganya hapo kwa bwana mnyongaji kukamatwa,anaekamatwa huwa ni bwana jela wa gereza ambalo hilo tukio la unyongaji limetokea...
Hapana ndugu yangu angalia tena kabrasha zako
 
Aisee
 
Hahjahahha yaani wewe ni bonge la kumamayo kwn umenivunja mbavu zangu kwa kucheka hakika sikupendi,
"NILI APPLY NIKAKOSA"yaani wewe kidogo nipaliwe na makonyagi haya ninayokunywa sasa,full comedian
Aisee
Nakumbuka kuna nchi waliweka advert ya kazi ya kunyonga kwa mshahara mnono
Nili apply nikakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…