Kabrasha chumba cha kunyongea

Mshana Jr uko TANROADS haya mambo ya Ukonga unayajuaje ?
 
Yaani kuna watu wanakula kilaini sana yaani
Utakula kiulaini but utakua unaweweseka usiku kucha, ndio maana wengi wanaofanya hii kazi hawako normal, utawakuta either ni walevi kupindukia au wako kama hawana akili nzuri, sometimes wengine wanakua wameshika dini haswa.
 
Utakula kiulaini but utakua unaweweseka usiku kucha, ndio maana wengi wanaofanya hii kazi hawako normal, utawakuta either ni walevi kupindukia au wako kama hawana akili nzuri, sometimes wengine wanakua wameshika dini haswa.
Huwezi kuweweseka kaka kabisa!!!!Ila inategemea umekulia wapi mkuu,wengine tumekulia kwenye makopo man,
Ukumbuke mpk mtu ananyongwa means kapitia vigezo vyote halali,
So unakuwa huna hatia hata chembe,ni kutekeleza tu
Km ni kichwa unafyekelea mbaliii kuleee
 
Kuna uzi fulani humu ndani wa yule mwarabu aalieajiriwa kuchinja watu wa hukumu ya kunyongwa
Halafu anakwambia muosha panga lile ni yeye na mwanae ambae anataka awe mrithi wake
 
Hahahah hiyo paragraph ya mwisho mkuu umetisha,so jamaa hupelekwa kufuta ushahidi kwa Mungu au nini?
 
Hahjahahha yaani wewe ni bonge la kumamayo kwn umenivunja mbavu zangu kwa kucheka hakika sikupendi,
"NILI APPLY NIKAKOSA"yaani wewe kidogo nipaliwe na makonyagi haya ninayokunywa sasa,full comedian
Na ningeipata ningeula maana kila kichwa malupulupu kibao
Usije ukapaliwa mengine nitakuambia kesho
Halafu usinisifu tena maana bado naitafuta hiyo kazi
 
Kichwa ya Mshana Jr Ina madini mengi sana.... Hii story imenifanya nivute imagination za kutisha kichwani mwangu. Dah Shukrani kwa Elimu mkuu.
 
Hivi huwa wale jamaa hawabaki maiti?
Njia rahisi ya Kupata kazi ya mortuary ni Kwa kuanza kujitolea ili wale jamaa Wa mortuary wakuelewe na eventually kuku recommend kwa wakubwa, unaajiriwa hata bila interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…