Kabudi alivyowanyanyua Wanyaturu Singida na kuwasahau Wanyiramba

Akina Mwigulu jana ndiyo wanatoa maagizo ya namna ya kuibrand Iramba. Yaani wanashtuka kuchukua shuka kumekucha. Too late brother Dkt Mwigulu!
 
Ukabila hauna nafasi yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
Kabudi ni mzee wa kujipendekeza na kutazama wapi pa kutokea,umesahau alisema pia wanyaturu wana uhusiano wakaribu na zenji sambamba na omani[emoji28]
 
Ni kujuze tu Dkt Mwigulu Nchemba ni kiongozi wa kitaifa, watanzania tunamwangalia kama promising leader,

Na kwasababu ni zamu ya kanda ya kati 2030 tunategemea awe Rais wa Nchi hivyo mambo ya kubishania makabila na kina kabudi amewaachia nyie.

Kwa taarifa yako tu Mwigulu ndio mbunge alieibadili iramba kwa [emoji817]
 
Ni
 
Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari....
Kumbe ulisoma Mwenge? Nilisoma hapo mwanzoni wa 70's enzi za kanali Moses Nnauye alipokuwa RC na Headmaster Mr. Mishael Muze😁
 
Nip
Nipo hapa usijari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…