Hayo ni matusi makubwa sana ; kwani wizara ya mambo ya nje haina uwezo wa kununua hivyo vitabu vya muasisi wa Taifa letu? Mambo mengine yanatuabisha sana. Leo hii balozi wetu anaweza kuthubutu kumpa zawadi mfaransa wa kawaida leave alone rais Macron zawadi ya kitabu cha Charles de Gaulle?