Kaburi alilochimba Joseph Kabila linamzika mwenyewe

Yaani bila aibu unatumia mipaka ya kishenzi ilyowekwa na mkoloni, kuwabagua waafrika wenzako. Mgalatia umefeli big time
 
Nimekumbuka yale maagano ya "Boyz 2 men" na namna mmoja alivyokuja "kumtosa" mwenzie kwa ile kashfa ya kutunga na ikasimamiwa na Mwakyembe! Dunia imejaa hadaa sana!
Ile ilikuwa vita kati ya rc na Lutheran


Lutheran walitaka kujenga mhimili kwa kumtumia mamvi


RC wakashtukia dili na kufanya offensive iliyosimamiwa na mwakyembe iliyopelekea mamvi ajiweke kando


Ktk kulipiza kisas Mwakyembe akapewa ugonjwa mpyaaa bongo nzima hakuna


Masponsa wa Mwakyembe nao wakalipa kisas kwa kumpa mamvi ugonjwa mpyaaa zaid ambao pia bongo hakuna


Mkwere haya yote aliyajua lkn aliamua kujiweka kando baada ya kuona masponsa wa Mwakyembe wapo sirias mno akaona bora amtose mshkaj wake ili wasije zama wote
 
Hii dunia ya tanzania ina mambo mengi sana.
 
mtu ambae ameishika congo, anafanya atakavyo si mwingine ni Danny Gertler Muisrael ,hakuna Rais atafanya kitu congo bila huyu bwana kushirikishwa
 

Attachments

  • Dany 02.jpg
    17.4 KB · Views: 7
Nionavyo, Kabila atakuja kufa kifo kama cha Savimbi wa Angola. Kabila enzi zake alikuwa katili sana, yaani kuna tukio niliwahi sikia kuna daladala/coaster abiria walianza kumsema vibaya Kabila, ile gari kumbe kulikuwa na mashushu basi dereva akaamuliwa aipeleke sehemu, mwisho wa siku wengi wao walitupwa kwenye bwawa la Mamba wakafa kwa kuliwa na Mamba. Nionavyo huu ni mpango wa Mungu kummaliza vizuri kwa watu wasiokuwa na hatia aliowaua.
 
Nimetoka kumgoogle na kumsoma. Asee huwez amini licha ya ujuaji ujuaji wangu mwingi sijawahi kumfaham huyu mteule.

Mbona utajiri wake ni mdogo Dollar billion 1.5 USD huyu mtu inamaana anazidiwa utajiri na Jay Z huyo mtu wako ni wakawaida Marais wa afrika wana pesa zaidi ya hizo huyo hawezi kushika congo
 
Basi kifo chake kitakuwa tu kama cha Magufuli si eti eeehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…