Kaburi la miaka takribani 3700 la mwana wa kike la Pharaoh lapatikana karibu na moja ya Piramidi

Kaburi la miaka takribani 3700 la mwana wa kike la Pharaoh lapatikana karibu na moja ya Piramidi

ivi kumbe walikuwa wanazikwa ivyo kama kwnye movie ya The Mummy alioigiza Tom Cruise vito vya thamani sijaskia vikitajwa?

G.O.M.D
 
ivi kumbe walikuwa wanazikwa ivyo kama kwnye movie ya The Mummy alioigiza Tom Cruise vito vya thamani sijaskia vikitajwa?

G.O.M.D
Tom cruise hajawahi kuigiza the mummy+
 
Tom cruise hajawahi kuigiza the mummy+
kaigiza sema ujaiona imetoka June 2017

The Mummy is a 2017 American
action -adventure film directed by
Alex Kurtzman and written by David Koepp, Christopher McQuarrie and
Dylan Kussman , with a story by
Kurtzman, Jon Spaihts and Jenny Lumet . It is a reboot of The Mummy franchise and the first installment in the Universal 's Dark Universe. The film stars Tom Cruise , Annabelle Wallis, Sofia Boutella, Jake Johnson,
Courtney B. Vance and Russell Crowe.
 
wamisri walikuwa ni civilisation iliyosheheni utamaduni mkubwa na historia kubwa...kabla hawajabakwa na wavaa makobazi na kufutiwa utamaduni wao na heritage yao yote
 
Back
Top Bottom