Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Cha ajabu hakuna Mkenya anayejua au hata tu kujali Mkapa (RIP) au hata Nyerere(RIP) alizikwaje, hii inamaanisha nini ? Watanzania wako obsessed sana na Kenya, wanakaa majumbania kwao na Familia zao kuangalia TV za Kenya na kutafuta vitu vya kuponda lkn hakuna Mkenya anayekaa sebuleni na Familia yake kuangalia TV ya Tanzania, hii haikwambii kitu chochote ?
Kenya kuna forums?Nenda forums zao walifatilia misiba yote ya Mkapa na JPM
Kenya kuna forums?
Walivyo na kiherehere wale wasifuatilie? Labda useme South Sudan .Cha ajabu hakuna Mkenya anayejua au hata tu kujali Mkapa (RIP) au hata Nyerere(RIP) alizikwaje, hii inamaanisha nini ? Watanzania wako obsessed sana na Kenya, wanakaa majumbania kwao na Familia zao kuangalia TV za Kenya na kutafuta vitu vya kuponda lkn hakuna Mkenya anayekaa sebuleni na Familia yake kuangalia TV ya Tanzania, hii haikwambii kitu chochote ?