ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Acha dharau kwa watu wenye hadhi ya chini kumbuka hakuna boss atakuja kuchafuka na vumbi akuchimbie kaburi..hao unaowaona ni watu wa maana hawawezi kuja kukusalimia ukiwa umelazwa ila ukifa tu wanachangia hata ng'ombe kwenye msiba wako, binadamu Ni wanyama siku hizi.