Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

Angalieni GSM kaja kuwekeza kisoka sio kutetea kesi za kishambenga hii kesi ni heavy ni kama ya uhujumu uchumi

GSM akiona mambo magumu anawaachia shuka tu kama masai halafu muanze kulia kama mchizi aliyeachwa na hamida

It's Scars
 
"E="Payrol, post: 34226355, member: 476851"]
Mechi zote za Yanga alizocheza na Simba toka msimu uliyopita amepingwa faini kwa sababu za imani ya kushirikina.
Msimu huu tu Yanga imepigwa faini jumla zaidi ya milioni mbili na nusu kwa imani za kishirikina.
Yanga na ushikina sawa samaki na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Shadeeya pitia hiyo Comment hapo👆 halafu utuambie mtaacha lini UCHAWI kwenye mpira. Wachawi Fc"
 

Vyura sidhani kama walifikiria na kufika angle hiyo

Walidhani wakimtuma aongee uongo halafu wakimuuliza kuhusu line akisema aliivunja basi mchezo unakua umeishia hapo na tuhuma zote zilizotolewa juu ya simba zinachukuliwa kua ni kweli

Hii ni noma kama kuchepuka na mke wa mganga

It's Scars
 
Wanajua yaliyoendelea ndio maana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilivyoona anamrusha Kabwili kavaa vipensi nikajua ana jambo la mana kumbe anamrusha ili watu wamdhihaki na kumkashifu angalau na yeye apate ahueni ya nafsi. Aiseeee!!!.

Mi nilikua simjui kabwili nilivyoona kanyuka kipensi nikajua ni mtoto wa zahera anafatilia deni la baba yake

Anyway tuachana na hayo

Vipi ratiba ya kwenda kumtembelea kabwili jela inawekwa lini?

It's Scars
 
Heeeee. Mumegeukia uchawi Mtani.

Subirini hili la kununua wachezaji lipite kwanza.
 
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎
Hao si ndio wanawaaminisha mashabiki kila siku kwamba Lunyasi wanatembeza muamala wakati Simba kiwango chao ni level nyingine kabisa hasa msimu huu wa ligi. Yeye athibitishe tu madai yake, hana cha utoto wala nini, watoto wako shule saizi
 
Hao si ndio wanawaaminisha mashabiki kila siku kwamba Lunyasi wanatembeza muamala wakati Simba kiwango chao ni level nyingine kabisa hasa msimu huu wa ligi. Yeye athibitishe tu madai yake, hana cha utoto wala nini, watoto wako shule saizi
Hebu tunyweni Mtori nyama tutazikuta chini. Tuacheni Kamati iliyoundwa ifanye kazi na pale itakapothibitika si kweli basi ndio muje kumwaga hizo nyongo zenu Ses.
 
kinachonichosha mimi ni pale ninaposikia akidai kuwa simba walitaka kumhonga ili atafute kadi nyingine ya njano kwa makusudi ili asidake mechi na simba kwa kuwa yule ambae angedaka angefungika kwa urahisi. Najiuliza kwa nn Simba wasimhonge kipa ambaye direct angedaka mechi hiyo ili wafunge kupitia yeye moja kwa moja? any way acha tuwe watulivu tukisubiri ni nini mwisho wa hili sakata.
 
Line ya simu sio issue.. Ushahidi upo.. Anasubiriwa Mhindi wenu aje amwage pesa wajanja wale.
Ushawahi sikia wapi pesa ya mhindi inalika kindezi?

Unafikiri GSM atakua mjinga atetee ujinga ili serikali itaifishe Magodoro yake?

Juzi mmetembea kwenye mpira saizi mnatembea kwenye kiki ya IST, sasa kabwili akiwa selo mjiamdae kumtembelea central

It's Scars
 
Wenzio wanazitafuna kila siku. Unadhani kwa nini alitaka kubwaga manyanga?
Kagundua walivyopiga pesa zake kwenye usajili.
Kila siku kuna mwanya wa kula pesa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…