Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

Huyu dogo vinguo anavyovyaa awe makini..wakina tshishimbi wanaweza mpumulia kisogoni
 
 

Attachments

  • Screenshot_20200129-174539_Instagram.jpg
    103.2 KB · Views: 1
Una mtuhumuje kwamba hana ushahidi wakati uchunguzi hauja fanyika? Mikia acheni vitisho, subiri I uchunguzi ufanhike kwa haki na kima upande utoe ushahidi ndipo ukweli utajulikana.
Hawa ndiyo hufungwa, yaani unatoa tuhuma bila ushahidi - ujinga mkubwa!!

Simba peleka mahakamani huyu mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishawaambia kuwa kusoma ni muhimu hata kama unapenda kucheza mpira soma upanue kichwa na uelewa wako.huyu mbumbumbu, golikipa namba tatu na ambaye hata hivyo hapangwi.ataongwaje IST kwa yellow card tu.uwepo wake uwanjani ni kama wa muhimu sana wakati ni pazia tu!!! kajitakia sasa!!!
 
Waende mahakama ipi, mana masuala ya soka hayatakiwi kupelekwa mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri umuelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya mawasiliano inazitaka kampuni za simu kutunza kumbukumbu kwa miaka mitano. Saver Ina kumbukumbu zote za voice na data tangu ulipo anza mpaka siku ya mwisho. Ukweli utajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hebu tulieni vyombo vifanye kazi zake.
Ikibainika nikweli lazima club iwajibike.
 
uongozi wa simba ni tatizo kwa sababu wamekuwa wakisingiziwa maneno lakini wanakaa kimya sasa hivi walitakiwa wawachukulie hatua huyo kipa pamoja na television iliyomhoji wa kuichafua brand ya simba lakini wao wamekaa wakisubiri uchunguzi wa TFF na tunavyowajua TFF hivi vitu huwa vinaishia hewani mwisho wake watu wataamini kuwa kweli simba ilikuwa inahonga wakati timu yenye historia ya kuhonga inajulikana mpaka viongozi wake wakafungiwa maisha na CAF au kuna wengine mlikuwa hamjazaliwa
 
atajuta kutoa kashfa pasina ushahidi, amesahau kama mchezaji haitakiwi kuwa shabiki. ndo mana unaona leo Niyonzima yupo simba kesho yupo tena yanga.
nimuambie tu kashajiharibia kisoko na atajuta juu ya hili
Mtasema Nini ushahidi ukitolewa? Simba siyo Mara ya Kwanza kujaribu kuhonga wachezaji wa yanga na hata timu nyingine. Je mmeshasahau Mara hi wale wachezaji wawili wa yanga waliorekodi mazungumzo Kati yao na kiongozi mmoja wa Simba na viongozi wa yanga wakaja juu na Mambo yakamalizwa kishikaji..mmesahau ya ulumboka na kado?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…