Kachero mbobezi yupo wapi? Ameshindwa hata kutoa pongezi kwa awamu ya 6?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,496
Reaction score
51,721
Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l.

Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu ndugu amesua?

Yuko wapi? Au ameachana na siasa uchwara kama Rostam?

Wengine walioko kimya.
Mzee warioba
Dr Emmanuel Nchimbi
Lazaro Nyalandu
Na yule aliyekuwa mmiliki wa Fastjet kabla mambo hayajamwendea kombo kwenye utawala wa Magufuli.
 
Khabari nadhani zimeshagota
mlangoni kwa assad
Mlangoni kwa wote wale waliojitutumua baada ya Jiwe ama kiongozi wa malaika kuondoka

Watu Wanahaha kuliko hata alivyokua hai.....
Na wasisahau Sasa anawasubiri upande wa pili😆😆😆
 
Kwa hili nimpongeze sana Membe amefanya vyema kukaa kimya.
 
Dead and gone
Usipojiheshimu mwenyewe tutaanzaje kukuheshimisha?

Samia ndiye dereva watake wasitake...
Dead and gone. Inanikumbusha kauli ya Camilius mwenyewe siku moja akihojiwa alisema

You can't be more roman than the romans themselves

Naona nchi imeshikwa na the real romans
 
Dead and gone. Inanikumbusha kauli ya Camilius mwenyewe siku moja akihojiwa alisema

You can't be more roman than the romans themselves

Naona nchi imeshikwa na the real romans
Bado kuna ile aliyokataa kuomba msamaha akisema "Ni heri kufa nikiwa wima kuliko kuishi nikiwa nimechuchumaa." Hii huwa naikumbuka sana
 
Membe ni comedian mzuri sana,angekigundua kipaji chake hiki toka akiwa kijana angekua maarufu kuliko Bill Cosby
 
Aliekwambia Rostam ameacha siasa ni nani? ROSTAM anafanya siasa za remote control. Nifisadi pekee aliyemu-win magufuli.
 
Mkuu usiseme Rostam kaachana na Siasa hata siku moja.Rostam hajawahi kuacha siasa na ndo masta plan wa siasa chafu nchi hii kama ulikuwa hujuwi.Akitaka kumchafua mtu anamwaga pesa kwa wabunge ni mtu hatari sana zama hizi,ambazo haonekani.
 
Bado kuna ile aliyokataa kuomba msamaha akisema "Ni heri kufa nikiwa wima kuliko kuishi nikiwa nimechuchumaa." Hii huwa naikumbuka sana
Hiyo ni nukuu maarufu ya Ernesto Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Bolivia aliye sacrifice maisha yake kutetea jamii zinazo nyanyaswa na kudhulumiwa popote duniani
 
Yupo nje ya nchi
 
Mkuu usiseme Rostam kaachana na Siasa hata siku moja.Rostam hajawahi kuacha siasa na ndo masta plan wa siasa chafu nchi hii kama ulikuwa hujuwi.Akitaka kumchafua mtu anamwaga pesa kwa wabunge ni mtu hatari sana zama hizi,ambazo haonekani.
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…