Kada Humphrey Polepole alisema juu ya yatakayompata Chongolo

Kada Humphrey Polepole alisema juu ya yatakayompata Chongolo

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM

Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.

Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
 
Kwamba Chongolo Amenyooka..... !!!??? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?

Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe ?
 
Kwako wewe aliyenyooka nani, Mbowe?
 
View attachment 2829597

Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM

Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.

Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
"✋🤚Aaaaaaaaaaaaaaaa mwacheni huyo mwacheni" ...alisikika akimnukuu ibilisi
 
Kwamba Chongolo Amenyooka? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?

Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe?
CCM wamekalia uchawi, hakuna cha PhD wala nn. Fitna ndiyo usiseme. Tukiwaambia hawa CCM kesi zote za Chadema ni za michongo wako watakaokataa lkn ukweli wanaufahamu. Wako watakaokataa kwa sababu wako gizani. Hawajui lolote ndani ya Chama Chao CCM mradi wanajaza matumbo yao basi.
 
Nadhani huyu ndiye anafaa kuwa KM...

Haka kajamaa kako strong enough kuhimili fitna ndani ya CCM...

Makonda hata kama atabaki kwenye position yake, Kwa Polepole anaweza kunyooka..

Bi. Samia Suluhu Hassan kama ana akili, ampendekeze huyu na apewe u - KM
 
Naona mnaanza kumfanyia campaign Polepole .Jee yeye na Makonda wataendana, kwani Makonda alipotengwa na Magu, Bw.PP hakumpa msaada wowote na alizidi kumtenga. Na nani atakaye midi mwenzake BLABLA
 
Back
Top Bottom