Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mungu ni MkuuView attachment 2829597
Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM
Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.
Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much.
Yetu macho
Kwako wewe aliyenyooka nani, Mbowe?Kwamba Chongolo Amenyooka..... !!!??? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?
Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe ?
"✋🤚Aaaaaaaaaaaaaaaa mwacheni huyo mwacheni" ...alisikika akimnukuu ibilisiView attachment 2829597
Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM
Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.
Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
Hayo umesema wewe..., ila siasa na unyoofu ni mbingu na ardhiKwako wewe aliyenyooka nani, Mbowe?
CCM wamekalia uchawi, hakuna cha PhD wala nn. Fitna ndiyo usiseme. Tukiwaambia hawa CCM kesi zote za Chadema ni za michongo wako watakaokataa lkn ukweli wanaufahamu. Wako watakaokataa kwa sababu wako gizani. Hawajui lolote ndani ya Chama Chao CCM mradi wanajaza matumbo yao basi.Kwamba Chongolo Amenyooka? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?
Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe?
Polepole is damm good!.View attachment 2829597
Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM
Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.
Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too much. Yetu macho.
Haiwezi kuwa account yake....!a.k.a
Ujinga mwingi na uchawa nchi hiiPolepole is damm good!.
- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss
P