Anampa nafasi ya kukipenda chama mtoto wake angali bado mdogo,kwangu mimi sioni tatizo maana ndio inajenga msingi wa watoto kufuatilia mambo katika kupanua wigo wao wa ufahamu kuhusu siasa na utawala katika nchi ambayo wao hapo baadae ndio watakuwa mihimili ya taifa letu baada ya kizazi chetu kupita.
Wazazi mfanyao hivi pia muwaambie ukweli watoto wenu kuwa chama kina UFISADI,RUSHWA,MIZENGWE ili nao wajue si kuwapeleka tu kama bendera inavyofuata upepo.