Kada na Elimu zinazohitajika ili usajiliwe kama "Professional Engineer" na Bodi ya Wakandarasi

Kada na Elimu zinazohitajika ili usajiliwe kama "Professional Engineer" na Bodi ya Wakandarasi

Bupilipili

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
46
Reaction score
16
Hallow wana jamvi!

...naulizia kwa mwenye details za kutosha juu ya kusajiliwa kama Professional Engineer kwa mtu aliyemaliza Advanced Diploma ya IT au Computer Science.

Je, unaweza kusajiliwa kama Professional Engineer au mpaka uwe umemaliza Bachelor Degree ya IT Engineering/Computer Engineering

...naulizia wadau kwa mwenye data za kutosha....
 
Wadau mwenye details za za kusajiliwa kama Pro. Engineer anijuze
 
Back
Top Bottom