Mafyangula JF-Expert Member Joined Jan 16, 2025 Posts 557 Reaction score 1,039 Oct 5, 2025 #1 Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee” Your browser is not able to display this video.
Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee” Your browser is not able to display this video.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 5, 2025 #2 Raia waliitikaje?
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,984 Oct 5, 2025 #3 Karudisha mpira mfupi kwa kipa.Katoa boko fala huyo, Che Malone mtupu.