Pre GE2025 Kada wa CCM kutoka Muleba Mohamed Ismail, amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan kujiuzulu

Pre GE2025 Kada wa CCM kutoka Muleba Mohamed Ismail, amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan kujiuzulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nkarahacha

Member
Joined
Oct 3, 2023
Posts
17
Reaction score
38
KADA WA CCM AMJIA JUU MWENYEKITI WA UVCCM KAGERA.

Kada wa CCM kutoka wilaya ya Muleba Ndg,Mohamed Ismail wakati akizungumza na Waandishi wa habari amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Ndg,Faris Buruhan kujiuzulu kama hawezi kujitokeza hadharani na kufuta kauli yake ya kupoteza watu.

Nimekuwekea video hapa chini.

Pia soma
 
Back
Top Bottom