PreGE2025 Kada wa CCM: Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Moja wa kada wa CCM amehoji na kujinadi kuwa Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election

Your browser is not able to display this video.
 
Facial expression tu inaonesha hayuko sawa. Watu wanataka reform, CCM haina hadhi ya kushindana na CDM. Ni chama kilichojificha nyuma ya serikali. Hakina ushawishi hata kwa wajinga. Wote walioko CCM wanatafuta fursa wala hawaipendi CCM.
 
Moja wa kada wa CCM amehoji na kujinadi kuwa Mnadhani kuna chama cha kushindana na CCM? Achaneni na no reforms no election

Ngoja tumsogezee kwa lugha tofauti na tunaenda kuitafsiri katika makabila yote 120 Tanganyika
English No Reform, No Election
Mandarin Chinese (Simplified) 没有改革,就没有选举
Hindi सुधार नहीं, तो चुनाव नहीं
Spanish Sin reforma, no hay elecciones
French Pas de réforme, pas d’élection
Standard Arabic لا إصلاح، لا انتخابات
Bengali সংস্কার নেই, নির্বাচন নেই
Russian Нет реформ — нет выборов
Portuguese Sem reforma, sem eleição
Urdu اصلاح نہیں تو انتخابات نہیں
Indonesian Tidak ada reformasi, tidak ada pemilu
German Keine Reform, keine Wahl
Japanese 改革なしでは選挙なし
Swahili Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi
Marathi सुधार नाही, निवडणूक नाही
Telugu సంస్కరణలు లేవు అంటే ఎన్నికలు లేవు
Turkish Reform yoksa seçim yok
Tamil திருத்தம் இல்லை என்றால் தேர்தலும் இல்லை
Korean 개혁 없이는 선거도 없다
Vietnamese Không cải cách, không bầu cử
 
We si wa mchezomchezo!
Mm! We si wa mchezomchezo!
 
Kwanini sasa Samia anaogopa Reforms?
 
Kwa wizi wa kura unavyofanyika aisee wala tusiende kupiga kura ni kupoteza tu muda
walidhani watakuwa wanafanya chaguzi za kilaghai kila muhula, safari hii wenye akili wamegoma kushiriki uchaguzi bila reforms
 
Hatushindani na sisiem ila tunashindana na upumbavu wa sisiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…