LGE2024 Kada wa CCM Njombe: Kwenye suala la kushika dola CCM hatuna mzaha

LGE2024 Kada wa CCM Njombe: Kwenye suala la kushika dola CCM hatuna mzaha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.

Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi

Kwenye kampeni za CCM za kuwanadi wagombea wote wa kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe Novemba 24,2024 kada mmoja wa CCM alisikika akisema kuwa kwenye suala la kushika dola, CCM haina mzaha kabisa.

 
Back
Top Bottom