Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 25, 2024 #1 Wakuu, CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi Kwenye kampeni za CCM za kuwanadi wagombea wote wa kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe Novemba 24,2024 kada mmoja wa CCM alisikika akisema kuwa kwenye suala la kushika dola, CCM haina mzaha kabisa. Your browser is not able to display this video.
Wakuu, CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi Kwenye kampeni za CCM za kuwanadi wagombea wote wa kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe Novemba 24,2024 kada mmoja wa CCM alisikika akisema kuwa kwenye suala la kushika dola, CCM haina mzaha kabisa. Your browser is not able to display this video.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Nov 25, 2024 #2 Kada kanyoosha rula.
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 25, 2024 #3 Afrika Afrika Afrika