Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
MNEC Salim Abri Asas akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa baada ya kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo Kituo Cha chuo Cha Afya kata ya Gangilonga
Anasema “Wananchi watachagua CCM kwa kuwa sasa mambo mengi yameboreshwa, barabara zimeboreshwa, elimu na vituo vya afya pia kwani Serikali ya CCM imefanya vizuri”
Aidha, ameongeza kuwa “Hakuna kituo ambacho kitakosa sanduku la kupigia kura, kwa maana safari hii utaratibu upo tofauti na awali ambapo sasa kuna kura ya NDIO au HAPANA”