Kada wa CCM Shishi baby apost kiingereza baada ya mafunzo

Kumbe Trump ni she yaan ke[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
My dady Trump she missed me [emoji16][emoji16][emoji16] hizi lugha zilikuja kwa meli bora kutumia lugha yako kuliko kujifanya mjuaji
 
"My dady Trump she missed me"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Najiuliza hivi alisahau hata kutofautisha viwakilishi vya jinsia kwa binadamu? Kha! Kumbe tunafeli halali hii lugha ilokuja kwa jahazi. Au Trump kabadili jinsia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu naye ni Dada wa harmorapa wote baba yao ni Dr shika family yao inaitwa makiki
 
Daah.....sio poa aisee lugha kama hatuzijui tuziache tu maana dah!
 
Mwanzo mgumu....ila watz tunapenda kukatishana tamaa sana mtu kajaribu mnamcheka.....
Sio hivyo bro kujaribu unajaribu ukiwa na mtu unaemuamini ili akurekebishe in case umeteleza sio unatuma majaribio yako kwa watu 100.
 
Sio hivyo bro kujaribu unajaribu ukiwa na mtu unaemuamini ili akurekebishe in case umeteleza sio unatuma majaribio yako kwa watu 100.
Hii lugha ukitaka kuijua uitumie popote cyo pemben na mtu wako wa karibu mana ndo inakupa kujiamin lkn ukichekwa sana mtu mwingne anatokea kuiogopa kabisa kujaribu tena mwisho wa siku tz yetu inakua yamwisho kila cku katika uongeaji wa kizungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…