HAAhhah hatch[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanachama hawezi kumzidi Mwenyekiti. Kiwango alichofikia kinatosha.
Yeye angalao kaweza hyo Aga aga aga, wewe mwenzangu na mie umeweza nn!?Kuna video moja nimeona Harmonize anahojiwa Kiingereza, anatamka 'Aga aga aga' mara nyingi sana.
Yeye angalao kaweza hyo Aga aga aga, wewe mwenzangu na mie umeweza nn!?Kuna video moja nimeona Harmonize anahojiwa Kiingereza, anatamka 'Aga aga aga' mara nyingi sana.
Mi nagonga kisukuma kama Maji wewe.!! Mambo ni [emoji91][emoji91]Yeye angalao kaweza hyo Aga aga aga, wewe mwenzangu na mie umeweza nn!?
Vjana wetu nimewafuatilia wanajitahidi Sana. Tunapaswa kuwaunga mkono sio kuwakatisha tamaa. Kwa elimu walizo nazo na wanachokifanya ni kitu kikubwa Sana.Mi nagonga kisukuma kama Maji wewe.!! Mambo ni [emoji91][emoji91]
Pamoja na kukaa chimbo ndio kaja na boko hilo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kada huyo anayependa sana lugha ya malkia ingawa yenyewe haimpendi amepost tena kwa msisitizo mkubwa kuonyesha umahiri wake mara baada ya kujichimbia chimbo kwa muda mrefu akibukua ki english
View attachment 654234