Pre GE2025 Kada wa CCM Sophia Simba: Enzi zetu hakukuwa na uchawa. Watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini.

Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini.

"Sisi enzi zetu hakukuwa na uchawa, watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao na chawa wengi ni lazima watakuwa na tabia za fitina na majungu ili watimize malengo yao"

View attachment 3253282
Og wanaelewa, watu walipata kiahalali based on uwezo, sio kulamba watu viatu
 
CCM ya kuanzia awamu ya pili waliopata vyeo kwa uwezo wao bila michongo wala connection ni wachache.

Nje ya uchawa wapo mafia walioteka mifumo na kuamua nani akae wapi kwa nini, hao hao mafia ndio wameanzisha makundi ya machawa kuendelea kuwaimbia mapambio na kuwatumia kwa maslahi yao binafsi.
Mafia ndio wamewaleta wasanii na kuwalipa wakiwafanyia kazi zao za kubrainwash Watanzania Kwa maslahi ya hao mafia na vizazi vyao.

Mtanzania stuka nchi imetekwa.
 
Sophia Simba nae atulie huko, kazi kusema viongozi wa sasa hivi, enzi zake Sophia Simba jina la Chawa lilikuwa halipo kweli ila tabia za wakereketwa au wapambe wa Chama au mgombea enzi hizo ndio hizi hizi za jina jipya la Chawa wa leo, hivyo enzi za akina Sophia Simba kulikuwa wakereketwa au wapambe wa Chama au mgombea..!!

Ila Uchawa wa sasa kiukweli unatia aibu, hilo nakubali.
 
Wakuu,

Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini.

Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini.

"Sisi enzi zetu hakukuwa na uchawa, watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao na chawa wengi ni lazima watakuwa na tabia za fitina na majungu ili watimize malengo yao"

View attachment 3253282
Kwa kiasi fulani yupo sahihi
 
Kama akina Lissu na Lema!! Wanaume wana fitina sijawai ona!!!
 
Ila na yeye si alikua chawa mkubwa wa Laigwanan EL.
 
Wakuu,

Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini.

Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini.

"Sisi enzi zetu hakukuwa na uchawa, watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao na chawa wengi ni lazima watakuwa na tabia za fitina na majungu ili watimize malengo yao"

View attachment 3253282
Mama uyu apewe maua kidogo
 
😅😅😅 wapi mwashabwa na tla lila
 
Amesema ukweli kabisa. Saivi uchawa ni tishio kwa mustakabali wa Taifa letu.
 
Sasaivi makada wa CCM wasio na uzoefu wa kutosha wa Serikali na mifumo yake ndo wanateuliwa kuwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Halmashauri. Sasa kwavhali hiyo kwa nini nchi isi collapse?
 
Back
Top Bottom