Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu.
Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti, Makalla amekuwa akisema kuwa CHADEMA wamekuwa wakilalamika sana kuonewa kwa sababu hawajiandaa na uchaguzi.
Soma Pia: Amosi Makalla: CHADEMA wamepoteza muda mwingi kwenye maandamano, kwenye uchaguzi huu hawajajipanga
Kwenye press conference ambayo wameifanya siku ya leo, kada huyu wa CHADEMA alimpopoa Makalla kwa kusema Makalla sio msemaji wa CHADEMA na kwamba wao CCM ndio hawajiandaa na Uchaguzi kwani wametumia muda mwingi kumsifia Samia.

"CCM sio wasemaji wetu. Amos Makalla aache kiherehere. Yule mwenezi wa CCM ana kiherehere cha kufuatilia sana hotuba zetu na kuanza kusema hatujajiandaa. Komaa we baba sisi tumejiandaa. Kwani si tuna kazi tuna gani?"